Friday 29th, March 2024
@Morogoro
Sikukuu ya wakulima inaadhimishwa kila mwaka ifikapo tarehe 8 mwezi wa nane.Siku hii hutanguliwa na maonesho ya shughuli za kilimo na ufugaji na huadhimishwa kikanda.Halmashauri yetu ni moja kati ya halmashauri za Tanga ambapo inaungana na mikoa ya Morogoro na Pwani na maonesho yanafanyika katika viwanja vya nanenane Morogoro.
Korogwe Tanga Tanzania
S.L.P: 615 Korogwe
Simu: 0272650050
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@korogwetc.go.tz
Copyright©2018 Korogwe Town Council. All rights reserved.