• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Mji wa Korogwe
Halmashauri ya Mji wa Korogwe

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Korogwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango Miji na Ardhi
      • Afya
      • Maji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi waJamii
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Tehama na Uhusiano
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Viwanda
    • Mifugo
    • Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Za afya
    • Kielimu
    • Za Maji
    • Za kilimo
    • Mifugo
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Elimu, afya,uchumi na maji
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Picha za Video
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio

Halmashauri ya Mji wa Korogwe yaadhimisha siku ya mtoto wa kike duniani

Posted on: October 11th, 2019

Halmashauri ya Mji wa Korogwe yaadhimisha siku ya mtoto wa kike duniani

Halmashauri ya Mji wa Korogwe imeadhimisha siku ya mtoto wa kike duniani, maadhimisho ambayo hufanyika Oktoba 11, ya kila mwaka. Kwa mwaka huu maadhimisho haya yamefanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe ambapo mgeni rasmi alikuwa Mh. Francis Komba  diwani wa Kata ya Mtonga ambapo pia ni  Kaimu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe.

Maadhimisho haya yaliandaliwa  na taasisi ya Brac Tanzania na kuhudhuriwa pia na watoto wa kike kutoka takribani shule za sekondari  kumi na moja za Mji wa Korogwe. Lengo la maadhimisho haya ni kukukutanisha wanaharakati mbalimbali ambapo huelimisha na kuhamasisha jamii kuhusu maswala ya mtoto wa kike duniani.  Kauli mbie ya mwaka huu ni “ imarisha uwezo wa mtoto wa kike: tokomeza ukeketaji, mimba na ndoa za utotoni”.

  Kwa upande wa mgeni rasmi Mh. Komba amewataka watoto wa kike kuongeza bidii katika masomo.  Alisistiza kuwa mtoto wa kike akipata elimu ataweza kujitambua na kuepukana na changamoto mbalimbali ambazo zinaweza kumrudisha nyuma kimaendeleo. Nae Bwana Aseri Mshana ambaye ni afisa elimu ya watu wazima akatika Halmashauri ya Mji wa Korogwe amewataka watoto kwa kike kujiepusha na vishawishi vya kimapenzi kwani wanaweza kupata madhara kama vile mimba za utotoni  pamoja na maradhi ya ukimwi.

   Katika hatua nyingine Mackleo Sumra mwanafunzi kutoka shule ya sekondari ya wasichana ya Korogwe  alisema maadhimisho haya ni muhimu sana kwa mtoto wa kike kwani wamepata maarifa yakutosha ambayo yatawasaida kuweka mikakati ili kufikiakia maengo ya kielimu na maisha kwa ujumla. Nae afisa habari wa Brac Tanzania ndugu Jackline Christopher ambao ni waandaaji wa maadhimisho haya  alisema amefurahishwa na ushiriki wa watoto wa kike kutoka shule mbalimbali za sekondari hivyo watasaidia kufikisha ujumbe kwa watoto wengine katika jamii.

Matangazo

  • Tangazo la Kazi - Afya December 06, 2024
  • TANGAZO LA KAZI - AFYA November 26, 2024
  • ERMS OF REFERENCE FOR THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN KOROGWE TOWN UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi Halmashauri ya Mji wa Korogwe imepokea Chanjo ya Mifugo.

    July 10, 2025
  • Mkurugenzi wa Mji wa Korogwe atembelea Ujenzi wa Miradi ya Maendeleo.

    July 10, 2025
  • Serikali yatatua Changamoto ya Makazi kwa Watumishi wa Umma

    July 04, 2025
  • Serikali yatatua Changamoto ya Makazi kwa Watumishi wa Umma

    July 04, 2025
  • Angalia Zote

Video

Video Zaidi

Kurasa Muhimu

  • Ukodishaji wa Ukumbi
  • Ukasanyaji wa Taka

Tovuti Zinazohusiana

  • TOVUTI YA SERIKALI
  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • MKOA TANGA
  • TUME YA AJIRA
  • PPRA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Korogwe Tanga Tanzania

    S.L.P: 615 Korogwe

    Simu: 0272650050

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@korogwetc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright©2018 Korogwe Town Council. All rights reserved.