• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Mji wa Korogwe
Halmashauri ya Mji wa Korogwe

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Korogwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango Miji na Ardhi
      • Afya
      • Maji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi waJamii
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Tehama na Uhusiano
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Viwanda
    • Mifugo
    • Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Za afya
    • Kielimu
    • Za Maji
    • Za kilimo
    • Mifugo
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Elimu, afya,uchumi na maji
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Picha za Video
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio

Halmashauri ya Mji wa Korogwe yatoa mafunzo ya kisheria kwa mabaraza ya Kata

Posted on: October 4th, 2019

Halmashauri ya Mji  wa Korogwe yatoa mafunzo ya kisheria kwa mabaraza ya Kata

Halmashauri ya Mji wa Korogwe imetoa mafunzo ya kisheia kwa mabaraza  kumi na moja ya kata kwa lengo la kuwajengea uwezo wa kisheria ili kupunguza migogoro ya  kisheria inazojitokeza katika jamii. Mafunzo haya ya siku tatu yalifunguliwa  Oktoba 2, mwaka huu na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauriya Mji wa Korogwe Ndugu Nicodemus Bei katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe.

Akizungumzia mafunzo haya mwanasheria msaidizi wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe Ndugu Mussa Dotti  alisema mafunzo haya  yapo kisheria katika sheria ya mabaraza ya Kata sura 206 rejeo la 2002, hivyo wameandaa mafunzo haya ili kuwajengea uwezo mabaraza ya kata katika  kutatua migogoro na kutoa ushauri wa kisheria katika maeneo wanayoishi. Bwana Dotti alifafanua kuwa  maeneo makuu yanayohitaji utatuzi  wa kisheria ni ardhi na kesi ndogondogo katika jamii. 

Kwa upande mwingine Bi. Susana Joseph ambaye pia ni mwanasheria msaidizi wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe  alisema  katika siku za karibuni kumeongezeka migogoro mingi ya ardhi katika jamii hivyo mafunzo haya ya kisheria  kwa mabaraza ya kata yatasaidia pupunguza changamoto za ardhi zinazojitokeza.

Nae Bwana Afred Dege ambaye ni mshiriki wa mafunzo haya kutoka kata ya Magunga alisema mafunzo haya ya kisheria  yatawasaidia  kutatua migogoro na kutoa ushauri wa kisheria katika jamii kwa sababu walikuwa wanafanya kazi kwa mazoea . Pia Bi. Felista Nyonjele mshiriki kutoka Kata ya Manundu ameishukuru Halmashauri ya Mji wa Korogwe kwa kuandaa mafunzo haya ya kisheria na elimu waliyoipata itawasaidia kufanya kazi kwa ufanisi.

Matangazo

  • Tangazo la Kazi - Afya December 06, 2024
  • TANGAZO LA KAZI - AFYA November 26, 2024
  • ERMS OF REFERENCE FOR THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN KOROGWE TOWN UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Serikali yatatua Changamoto ya Makazi kwa Watumishi wa Umma

    July 04, 2025
  • Serikali yatatua Changamoto ya Makazi kwa Watumishi wa Umma

    July 04, 2025
  • Serikali yatatua Changamoto ya Makazi kwa Watumishi wa Umma.

    July 04, 2025
  • Mwakilishi wa Mkuu wa Wilaya ameyataka mashirika yasiyo ya kiserikali kufuata Sheria na miongozo ya Serikali

    July 01, 2025
  • Angalia Zote

Video

Video Zaidi

Kurasa Muhimu

  • Ukodishaji wa Ukumbi
  • Ukasanyaji wa Taka

Tovuti Zinazohusiana

  • TOVUTI YA SERIKALI
  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • MKOA TANGA
  • TUME YA AJIRA
  • PPRA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Korogwe Tanga Tanzania

    S.L.P: 615 Korogwe

    Simu: 0272650050

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@korogwetc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright©2018 Korogwe Town Council. All rights reserved.