• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Mji wa Korogwe
Halmashauri ya Mji wa Korogwe

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Korogwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango Miji na Ardhi
      • Afya
      • Maji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi waJamii
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Tehama na Uhusiano
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Viwanda
    • Mifugo
    • Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Za afya
    • Kielimu
    • Za Maji
    • Za kilimo
    • Mifugo
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Elimu, afya,uchumi na maji
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Picha za Video
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio

Mchakato wa baadhi ya maeneo ya Wilaya ya Korogwe kuhamia Mji wa Korogwe waiva, Halmashauri zote mbili zaafikiana

Posted on: January 17th, 2020

Mchakato wa baadhi ya maeneo ya Wilaya ya Korogwe kuhamia Mji wa Korogwe waiva, Halmashauri zote mbili zaafikiana

Halmashauri ya Mji wa Korogwe na Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe zimekutana kujadili namna ya kukabidhiana  baadhi ya maeneo ya kiutawala kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe kwenda Halmashauri ya Mji wa Korogwe. Halmashauri hizo zimekutana katika kikao maalumu cha baraza la ushauri wa kisheria katika Wilaya ya Korogwe. Kikao hicho kilifanyika Januari 17, mwaka huu katika ukumbi wa mikutano uliopo Halmashauri ya Mji wa Korogwe.

Akizungumzia mchakato huu Mh. Kissagwakisa Kasongwa  ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Korogwe alisema  kuwa mchakato huu umetokana na  kuhama kwa Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe kwenda eneo la Kwasunga katika kutekeleza agizo la Mh. Dkt. John Pombe Magufuli  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  pamoja na agizo la Mh. Selemani Jafo Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa.

 Wajumbe wa Halmashauri zote  mbili  walitoa baraka zao kuridhia  mchakato huu hivyo kuendelea kwa ngazi ya Mkoa na hatua nyinginezo. Maeneo yaliyopendekezwa kuhamia Halmashauri ya Mji wa Korogwe ni Kata zote zilizopo Tarafa ya Korogwe na Magoma ambazo ziko kumi (10), Vijiji arobaini na moja  (41) pamoja na Vitongoji miambili na tano (205). Lengo kuu la kuhamisha maeneo haya Kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe kwenda Halmashauri ya Mji wa Korogwe ni kuwawezesha wanachi wa maeneo haya kupata huduma za kijamii kwa haraka. 

Matangazo

  • Tangazo la Kazi - Afya December 06, 2024
  • TANGAZO LA KAZI - AFYA November 26, 2024
  • ERMS OF REFERENCE FOR THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN KOROGWE TOWN UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi Halmashauri ya Mji wa Korogwe imepokea Chanjo ya Mifugo.

    July 10, 2025
  • Mkurugenzi wa Mji wa Korogwe atembelea Ujenzi wa Miradi ya Maendeleo.

    July 10, 2025
  • Serikali yatatua Changamoto ya Makazi kwa Watumishi wa Umma

    July 04, 2025
  • Serikali yatatua Changamoto ya Makazi kwa Watumishi wa Umma

    July 04, 2025
  • Angalia Zote

Video

Video Zaidi

Kurasa Muhimu

  • Ukodishaji wa Ukumbi
  • Ukasanyaji wa Taka

Tovuti Zinazohusiana

  • TOVUTI YA SERIKALI
  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • MKOA TANGA
  • TUME YA AJIRA
  • PPRA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Korogwe Tanga Tanzania

    S.L.P: 615 Korogwe

    Simu: 0272650050

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@korogwetc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright©2018 Korogwe Town Council. All rights reserved.