• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Mji wa Korogwe
Halmashauri ya Mji wa Korogwe

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Korogwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango Miji na Ardhi
      • Afya
      • Maji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi waJamii
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Tehama na Uhusiano
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Viwanda
    • Mifugo
    • Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Za afya
    • Kielimu
    • Za Maji
    • Za kilimo
    • Mifugo
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Elimu, afya,uchumi na maji
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Picha za Video
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio

Mh. Zena Said Katibu Tawala Mkoa wa Tanga ashiriki mashindano ya mbio fupi za Korogwe “ Korogwe Min Marathon”

Posted on: October 14th, 2019

Mh. Zena Said  Katibu Tawala Mkoa wa Tanga ashiriki  mashindano ya mbio fupi za Korogwe  “ Korogwe Min Marathon”

Mh. Zena said amefungua pamoja na kushiriki mashindano ya mbio fupi za korogwe maarufu kama Korogwe Min Marathon. Mashingano ambayo yalifunguliwa Oktoba 13, mwaka huu katika eneo  la kiwanja cha Chuo cha Ualimu Korogwe kikijulikana kama Korogwe TTC.

Mh. Zena ambaye ni mgeni rasmi  katika mashindano alisema lengo kuu la mashindano haya ni umuenzi  kwa vitendo Baba wa Taifa Mwl. J.K.Nyerere ikiwa mwaka huu ametimiza miaka 20 tokea atutoke duniani .  Pamoja na kumuenzi baba wa Taifa vilivile  kuchangisha fedha kwa ajili ya ujenzi wa madarasa katika  shule  za wilaya ya Korogwe.

 Kwa upande mwingine Mh. Zena amewataka wananchi wa Korogwe kwenda kujiandikisha kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa  ili wachague viongozi makini watakaowaletea maendeleo katika maeneo yao. Sambamba na mashindano pia amewatembele  walimu tarajali wa chuo cha ualimu Korogwe na kuwasisitiza umuhimu wa kujiandikisha ili washiriki katika uchaguzi wa serikali za mitaa unatarajiwa kufanyika  Novemba 24, mwaka huu.

Mh.  Zena akiwa pamoja na mwenyeji wake Mh. Kissagwakisa Kasongwa ambaye ni mkuu wa wilaya ya Korogwe wote kwa pamoja walishiriki katika mbio fupi za kilometa 5 mbio hizi zikiwa na lengo la kujifurahisha na kuuchangamsha mwili. Nae mratibu wa mashindano haya ndugu Juma Mwajasho alisema mashindano  yamegawanyika katika vipengele  vifuatavyo mbio za miguu kilometa 5 kwa ajili ya kujifurahisha, kilometa 10 mashindano ya wasichana na wavulana. Vilevile mbio za baiskeli kilometa 20 kwa wasichana na kilometa 30 kwa wavulana.

Nae Banuelia Braiton  kutoka Mkoani Kilimanjaro ambaye ni mshindi wa pili wa  mbio za kilomita 10 kwa wasicha amefurahi kupata ushindi  na ameshauri mashindano haya yasiishie mwaka huu yawe endelevu kwa miaka mingine. Akizungumzia kuhusu fursa zilizopo katika michezo amesisitiza   kuwa wakati huu michezi ni ajira hivyo vijana washiriki kwa wingi, ushiriki wao utasaidi kupata  fedha pamoja  na kuimarisha mwili.

Matangazo

  • Tangazo la Kazi - Afya December 06, 2024
  • TANGAZO LA KAZI - AFYA November 26, 2024
  • ERMS OF REFERENCE FOR THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN KOROGWE TOWN UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Halmashauri ya Mji wa Korogwe imepokea Chanjo na Vifaa wezeshi

    July 11, 2025
  • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi Halmashauri ya Mji wa Korogwe imepokea Chanjo ya Mifugo.

    July 10, 2025
  • Mkurugenzi wa Mji wa Korogwe atembelea Ujenzi wa Miradi ya Maendeleo.

    July 10, 2025
  • Serikali yatatua Changamoto ya Makazi kwa Watumishi wa Umma

    July 04, 2025
  • Angalia Zote

Video

Video Zaidi

Kurasa Muhimu

  • Ukodishaji wa Ukumbi
  • Ukasanyaji wa Taka

Tovuti Zinazohusiana

  • TOVUTI YA SERIKALI
  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • MKOA TANGA
  • TUME YA AJIRA
  • PPRA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Korogwe Tanga Tanzania

    S.L.P: 615 Korogwe

    Simu: 0272650050

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@korogwetc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright©2018 Korogwe Town Council. All rights reserved.