• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Mji wa Korogwe
Halmashauri ya Mji wa Korogwe

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Korogwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango Miji na Ardhi
      • Afya
      • Maji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi waJamii
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Tehama na Uhusiano
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Viwanda
    • Mifugo
    • Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Za afya
    • Kielimu
    • Za Maji
    • Za kilimo
    • Mifugo
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Elimu, afya,uchumi na maji
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Picha za Video
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio

Mji wa Korogwe wapata mafunzo ya TASAF kunusuru kaya masikini

Posted on: June 17th, 2020

 Mji wa Korogwe wapata mafunzo ya TASAF kunusuru kaya masikini

Mfuko wa Maendeleo ya Jamii Tanzania (TASAF) kwa kushirikiana na Halmashauri ya Mji wa Korogwe wametoa mafunzo kwa viongozi na watendaji mbalimbali watakaoshiriki katika mchakato wa kunusuru kaya masikini katika Halmashauri ya mji wa Korogwe. Mafunzo hayo ya siku mbili yalitolewa kuanzia Juni 16 hadi 17, mwaka huu katika ukumbi wa Halmashaauri ya Mji wa Korogwe.

Lengo la mafunzo hayo ya siku mbili ni kujenga uelewa kwa viongozi na watendaji mbalimbali watakaoshiriki katika mchakato wa Tasaf kuanzia ngazi ya Kata, Mitaa hadi Vijiji ili kufanya kazi kwa ufanisi. Mpango huu wa Tasaf ni muendelezo wa mikakati yake ya kupunguza umasikini katika jamii ambapo kwa mwaka huu ni kipindi cha pili cha awamu ya tatu kinachotekelezwa kwa miaka minne kuanzia mwaka 2020 hadi 2023.

Akizungumzia mafunzo hayo Ndugu Rahel Muhando anayemuakilisha Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mh. Kissa Kasongwa alisema “viongozi pamoja na watendaji wote tunaoshiriki katika mchakato wa Tasaf lazima tukatende haki, tuwe wazalendo pamoja na kufanya kazi kwa uadilifu” Kwa upande mwingine,  Ndugu Frank Fuko anayemuakilisha Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe alisema “nina Imani kubwa mafunzo yaliyotolewa yameeleweka vizuri, ni vyema washiriki mkafanye kazi kwa ufanisi"

Nae ndugu  Victor Manyai ambaye ni muezeshaji wa mafuzo hayo alitoa ushauri kwa  washiriki kwa kusema "watendaji wa Tasaf ni vyema kujiepusha na udanganyifu wowote na yeyote  atakayebaika sheria itachukua mkondo wake. Nao washiriki walitoa shukrani kwa kupatiwa elimu ya namna ya kushiriki katika mpango wa kunusuru kaya masikini na kuahidi kufanya kazi kwa umakini.

                              

Matangazo

  • Tangazo la Kazi - Afya December 06, 2024
  • TANGAZO LA KAZI - AFYA November 26, 2024
  • ERMS OF REFERENCE FOR THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN KOROGWE TOWN UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Mwakilishi wa Mkuu wa Wilaya ameyataka mashirika yasiyo ya kiserikali kufuata Sheria na miongozo ya Serikali

    July 01, 2025
  • Waratibu Elimu kata na Wali Wakuu wa Shule za Msingi za Mji wa Korogwe wajengewa uwezo wa usimamizi wa ufundishaji na Ujifunzaji.

    June 27, 2025
  • Mradi wa TACTIC kuimarisha Huduma za Usafirishaji kwa Miji 12 Tanzania.

    June 26, 2025
  • Halmashauri ya Mji wa Korogwe yaadhimisha Siku ya Wajane Duniani.

    June 23, 2025
  • Angalia Zote

Video

Video Zaidi

Kurasa Muhimu

  • Ukodishaji wa Ukumbi
  • Ukasanyaji wa Taka

Tovuti Zinazohusiana

  • TOVUTI YA SERIKALI
  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • MKOA TANGA
  • TUME YA AJIRA
  • PPRA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Korogwe Tanga Tanzania

    S.L.P: 615 Korogwe

    Simu: 0272650050

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@korogwetc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright©2018 Korogwe Town Council. All rights reserved.