• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Mji wa Korogwe
Halmashauri ya Mji wa Korogwe

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Korogwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango Miji na Ardhi
      • Afya
      • Maji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi waJamii
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Tehama na Uhusiano
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Viwanda
    • Mifugo
    • Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Za afya
    • Kielimu
    • Za Maji
    • Za kilimo
    • Mifugo
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Elimu, afya,uchumi na maji
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Picha za Video
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio

Mji wa Korogwe wapitisha bajeti ya mwaka wa fedha 2020/2021

Posted on: January 31st, 2020

Mji wa Korogwe wapitisha bajeti ya mwaka wa fedha 2020/2021

Baraza la Madiwani katika Halmashauri ya Mji wa Korogwe limepitisha bajeti ya mwaka wa fedha 2020/2021. Bajeti ambayo ndiyo taswira ya kimaendeleo katika makusanyo na matumizi ya Halmashauri. Baraza lilipitisha bajeti hiyo Januari 31, mwaka huu katika ukumbi wa mikutano uliopo Halmashauri ya Mji wa Korogwe.

Kwa mwaka wa fedha wa 2020/2021, Halmashauri ya Mji wa Korogwe inakisia kukusanya na kutumia shilingi bilioni 26.06 kutoka vyanzo mbalimbali vya mapato.  Bajeti hii imeongezeka kutoka shilingi bilioni 19.8 kwa mwaka wa fedha 2019/2020 hadi kufikia shilingi bilioni 26.06 kwa mwaka wa fedha 2020/2021  ongezeko hili ni sawa shilingi bilioni 6.2.

 Bajeti ya mwaka wa fedha 2020/2021 imetoa vipaumbele katika mambo yafuatayo: Kuongeza wigo wa ukusanyaji wa mapato kwa kutenga fedha kwa ajili ya kuimarisha timu ya ufuatiliaji na ununuzi wa mashine za risiti (POS), Kutenga fedha  kwa ajili ya uendeshaji wa matunzo ya miradi iliyopo katika Halmashauri kama vile soko jipya la Kilole pamoja na Kituo kikuu cha mabasi kilichopio  Kilole.

Vipaumbele vingine ni pamoja na kutenga asilimia kumi (10) ya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu.  Kusimamia upatikanaji wa maslahi na motisha kwa watumishi, na maslahi ya viongozi kwa maendeleo ya ustawi wao.  Kutenga fedha asilimia arobaini (40) kwa ajili ya kuchangia miradi ya maendeleo, pamoja na  Kukamilisha miradi iliyobakia na kuendeleza miradi mipya ya maendeleo kwa njia kushirikisha nguvu kazi za wananchi (msaragambo).

Kwa upande mwingine Bi. Bernadetha January ambaye ni   Mchumi katika  Halmashauri ya Mji wa Korogwe alifafanua kuwa mpango huu wa bajeti kwa mwaka wa fedha 2020/2021  unalenga kushirikisha wananchi katika kukuza uchumi na kupunguza umasikini. Bi. January aliendelea  kusisitiza kuwa mpango wa bajeti hiyo umeandaliwa kwa kushirikisha wananchi kuanzia ngazi za Kata, Mtaa hadi Vijiji.

Matangazo

  • Tangazo la Kazi - Afya December 06, 2024
  • TANGAZO LA KAZI - AFYA November 26, 2024
  • ERMS OF REFERENCE FOR THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN KOROGWE TOWN UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi Halmashauri ya Mji wa Korogwe imepokea Chanjo ya Mifugo.

    July 10, 2025
  • Mkurugenzi wa Mji wa Korogwe atembelea Ujenzi wa Miradi ya Maendeleo.

    July 10, 2025
  • Serikali yatatua Changamoto ya Makazi kwa Watumishi wa Umma

    July 04, 2025
  • Serikali yatatua Changamoto ya Makazi kwa Watumishi wa Umma

    July 04, 2025
  • Angalia Zote

Video

Video Zaidi

Kurasa Muhimu

  • Ukodishaji wa Ukumbi
  • Ukasanyaji wa Taka

Tovuti Zinazohusiana

  • TOVUTI YA SERIKALI
  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • MKOA TANGA
  • TUME YA AJIRA
  • PPRA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Korogwe Tanga Tanzania

    S.L.P: 615 Korogwe

    Simu: 0272650050

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@korogwetc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright©2018 Korogwe Town Council. All rights reserved.