• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Mji wa Korogwe
Halmashauri ya Mji wa Korogwe

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Korogwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango Miji na Ardhi
      • Afya
      • Maji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi waJamii
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Tehama na Uhusiano
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Viwanda
    • Mifugo
    • Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Za afya
    • Kielimu
    • Za Maji
    • Za kilimo
    • Mifugo
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Elimu, afya,uchumi na maji
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Picha za Video
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio

Mji wa Korogwe washinda Vikombe Saba UMISSETA

Posted on: June 14th, 2021

Mji wa Korogwe washinda Vikombe Saba UMISSETA

Halmashauri ya Mji wa Korogwe imepata ushindi wa kishindo kwa kupata Vikombe Saba katika mashindano ya Michezo kwa Shule za Sekondari (UMISSETA). Mashindano hayo yaliyoshirikisha Halmashauri zote Kumi na Moja za Mkoa wa Tanga yalifanyika kuanzia Juni 11 hadi 13, mwaka huu katika Viwanja vya Shule ya Sekondari ya Ufundi Tanga iliypo Tanga Mjini.

Katika mashindano hayo Halmashauri ya Mji wa Korogwe ilipata Vikombe Saba ambapo Vikombe Sita imeshika nafasi ya Kwanza na Kikombe kimoja imeshika nafasi ya Pili. Michezo iliyoshindaniwa katika mashindano hayo ilijumuisha Mpira wa Miguu, Mpira wa Mikono, Mpira wa Wavu pamoja na Mpira wa Pete. Michezo mingine ni Mpira wa Kikapu, Mchezo wa Riadha pamoja na Uimbaji wa Nyimbo (Kwaya).

“Natoa pongezi kwa  Wanafunzi wote waliotupatia ushindi katika michezo ya UMISSETA”  alisema Mwl. Salim Makame  ambaye ni Mwalimu wa Michezo  kutoka  Halmashauri ya Mji wa Korogwe aliyeambatana na Wanafunzi katika mashindano  hayo.  Mwl. Makame alifafanua zaidi kuwa wanafunzi 31 kati ya Wanafunzi 79 wamechaguliwa kuunda Timu ya UMISSETA ya Mkoa Tanga itakayoshiriki katika mashindano ya Kitaifa yatakayofanyika Mkoani Mtwara.

Kwa upande mwingine, Wanafunzi 48 waliwasili Mjini Korogwe baada ya  mashindano ya UMISSETA  Mkoani  Tanga kukamilika walitoa pongezi kwa uongozi wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe kwa  kuwapa ushirikiano wa kutoasha  uliopelekea ushindi wa Vikombe Saba.

Matangazo

  • Tangazo la Kazi - Afya December 06, 2024
  • TANGAZO LA KAZI - AFYA November 26, 2024
  • ERMS OF REFERENCE FOR THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN KOROGWE TOWN UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi Halmashauri ya Mji wa Korogwe imepokea Chanjo ya Mifugo.

    July 10, 2025
  • Mkurugenzi wa Mji wa Korogwe atembelea Ujenzi wa Miradi ya Maendeleo.

    July 10, 2025
  • Serikali yatatua Changamoto ya Makazi kwa Watumishi wa Umma

    July 04, 2025
  • Serikali yatatua Changamoto ya Makazi kwa Watumishi wa Umma

    July 04, 2025
  • Angalia Zote

Video

Video Zaidi

Kurasa Muhimu

  • Ukodishaji wa Ukumbi
  • Ukasanyaji wa Taka

Tovuti Zinazohusiana

  • TOVUTI YA SERIKALI
  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • MKOA TANGA
  • TUME YA AJIRA
  • PPRA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Korogwe Tanga Tanzania

    S.L.P: 615 Korogwe

    Simu: 0272650050

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@korogwetc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright©2018 Korogwe Town Council. All rights reserved.