• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Mji wa Korogwe
Halmashauri ya Mji wa Korogwe

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Korogwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango Miji na Ardhi
      • Afya
      • Maji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi waJamii
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Tehama na Uhusiano
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Viwanda
    • Mifugo
    • Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Za afya
    • Kielimu
    • Za Maji
    • Za kilimo
    • Mifugo
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Elimu, afya,uchumi na maji
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Picha za Video
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio

Mkurugenzi wa Mji wa Korogwe atembelea miradi ya maendeleo

Posted on: October 22nd, 2020

Mkurugenzi wa Mji wa Korogwe atembelea miradi ya maendeleo

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe akiambatana pamoja na Wakuu wa Idara mbalimbali  ametembelea miradi ya maendeleo  iliyopo katika Mji wa Korogwe inayotekelezwa katika mwaka wa fedha wa 2020/2021.  Ziara ya miradi hiyo imefanyika Oktoba 22, mwaka huu.

“miradi hii ya elimu pamoja na afya  itakapokamilika itasaidia kupunguza baadhi ya changamoto katika halmashauri yetu” Dr. Furtunata Silayo ambaye ni Afisa Mifungo na Uvuvi  katika Halmashauri ya Mji wa Korogwe anayemuwakilisha Mkurugenzi alisema..  Dr. Silayo alisisitiza kuwa Serikali imejipanga vyema kuhakikisha inaboresha huduma za jamii pamoja na kuwapatia mikopo vijana, Wanawake na Watu wenye ulemavu ili kuimarisha uchumi wa mtu mmoja mmoja na vikundi kwa ujumla.

Nae Bi. Benadetha January ambaye ni Mchumi katika Halmashauri ya Mji wa Korogwe alifafanua kuwa miradi iliyotembelewa inahusisha Ujenzi wa Vyumba vya Madarasa pamoja na Matundu ya vyoo katika shule za Msingi na Sekondari, Ujenzi wa Mabweni katika Shule za Sekondari, Ujenzi wa vyoo vya kisasa katika Soko la Manundu, pamoja na Vikundi vya Vijana,Wanawake na Watu wenye ulemavu. Miradi mingine ni Ujenzi wa vyumba vya kulalia wagonjwa pamoja na Mtambo wa kuchomea taka katika Kituo cha Afya cha Majengo.

Kwa upande  mwingine Wakuu wa Idara za Elimu ya Msingi na Sekondari, Afya pamoja na Maendeleo ya Jamii wameridhishwa na maendeleo mazuri ya utekelezaji wa miradi yote  ya maendeleo. “nitahakikisha miradi yote ya ujenzi inakamilika vyema ikiwa katika  viwango vilivyotolewa na Serikali.” Mhandisi Said Abuu alisisitiza wakati akitoa ufafanuzi kuhusu ubora wa malighafi zilizotumika katika ujenzi wa miundombinu  ya elimu pamoja na afya.. Nae Bi. Jane Steven kutoka kikundi cha Agape kinachojihusisha na utengenezaji wa batiki pamoja na mapambo malimbali aliishukuru serikali na Halmashauri kwa ujumla kwa kuwapatia mkopo katika kikundi chao.

Matangazo

  • Tangazo la Kazi - Afya December 06, 2024
  • TANGAZO LA KAZI - AFYA November 26, 2024
  • ERMS OF REFERENCE FOR THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN KOROGWE TOWN UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi Halmashauri ya Mji wa Korogwe imepokea Chanjo ya Mifugo.

    July 10, 2025
  • Mkurugenzi wa Mji wa Korogwe atembelea Ujenzi wa Miradi ya Maendeleo.

    July 10, 2025
  • Serikali yatatua Changamoto ya Makazi kwa Watumishi wa Umma

    July 04, 2025
  • Serikali yatatua Changamoto ya Makazi kwa Watumishi wa Umma

    July 04, 2025
  • Angalia Zote

Video

Video Zaidi

Kurasa Muhimu

  • Ukodishaji wa Ukumbi
  • Ukasanyaji wa Taka

Tovuti Zinazohusiana

  • TOVUTI YA SERIKALI
  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • MKOA TANGA
  • TUME YA AJIRA
  • PPRA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Korogwe Tanga Tanzania

    S.L.P: 615 Korogwe

    Simu: 0272650050

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@korogwetc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright©2018 Korogwe Town Council. All rights reserved.