• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Mji wa Korogwe
Halmashauri ya Mji wa Korogwe

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Korogwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango Miji na Ardhi
      • Afya
      • Maji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi waJamii
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Tehama na Uhusiano
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Viwanda
    • Mifugo
    • Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Za afya
    • Kielimu
    • Za Maji
    • Za kilimo
    • Mifugo
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Elimu, afya,uchumi na maji
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Picha za Video
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio

Mkuu wa Mkoa wa Tanga apigia chapuo kilimo cha mkonge

Posted on: June 17th, 2021

Mkuu wa Mkoa wa Tanga apigia chapuo kilimo cha mkonge

Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Adam Malima amewaagiza  Maafisa Kilimo wa Halmashauri za Wilaya ya Korogwe kuongeza uzalishaji wa kilimo cha mkonge ikiwa ni mkakati wa Serikali katika kuimarisha uchumi wa Mkoa wa Tanga na Nchini kwa ujumla. Agizo hilo amelitoa wakati wa Baraza la Hoja za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali kwa mwaka wa fedha 2019 / 2020 lililofanyika Juni 17, mwaka huu katika ukumbi wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe.

“Tunataka kurudisha hadhi ya Mkoa wa Tanga katika kilimo cha mkonge” alisema Mhe. Adam Malima  ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga wakati akitoa maagizo kwa Maafisa Kilimo wa  Halmashauri za Wilaya ya Korogwe katika kikao cha  Baraza la Hoja za Mthibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali kwa mwaka wa fedha 2019 / 2020. Mhe. Malima aliendelea kutoa maelekezo kwa kusema “Wilaya ya Korogwe hakikisheni mnaongeza uzalishaji wa mkonge kutoka tani elfu tisa hadi tani elfu thelathini kwa mwaka”.

“Niko tayari kwa utekelezaji wa maagizo ya kilimo cha mkonge” alisema Ndugu Ramadhani Sekija ambaye ni Afisa Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe wakati akipokea maelekezo ya Mkuu wa Mkoa wa Tanga kuhusu kuongeza uzalishaji wa kilimo cha mkonge katika Wilaya ya Korogwe wakati wa Baraza la Hoja za Mthibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali kwa mwaka wa fedha 2029 / 2020.

Katika hatua nyengine, Mhe. Adamu Malima ameipongeza Halmashauri ya Mji wa korogwe kwa uandaaji pamoja na uwasilishaji mzuri wa taarifa za Hoja za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali kwa mwaka wa fedha 2019 / 2020.  Nae Mhe. Francis Komba ambaye ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe  na Diwani wa Kata ya Mtonga alimshukuru  Mkuu wa Mkoa wa Tanga kwa kuitembelea Halmashauri ya Mji wa Korogwe.

Matangazo

  • Tangazo la Kazi - Afya December 06, 2024
  • TANGAZO LA KAZI - AFYA November 26, 2024
  • ERMS OF REFERENCE FOR THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN KOROGWE TOWN UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Waratibu Elimu kata na Wali Wakuu wa Shule za Msingi za Mji wa Korogwe wajengewa uwezo wa usimamizi wa ufundishaji na Ujifunzaji.

    June 27, 2025
  • Mradi wa TACTIC kuimarisha Huduma za Usafirishaji kwa Miji 12 Tanzania.

    June 26, 2025
  • Halmashauri ya Mji wa Korogwe yaadhimisha Siku ya Wajane Duniani.

    June 23, 2025
  • Shule ya Msingi Kwamngumi yalima Hekari mbili za Mahindi

    June 19, 2025
  • Angalia Zote

Video

Video Zaidi

Kurasa Muhimu

  • Ukodishaji wa Ukumbi
  • Ukasanyaji wa Taka

Tovuti Zinazohusiana

  • TOVUTI YA SERIKALI
  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • MKOA TANGA
  • TUME YA AJIRA
  • PPRA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Korogwe Tanga Tanzania

    S.L.P: 615 Korogwe

    Simu: 0272650050

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@korogwetc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright©2018 Korogwe Town Council. All rights reserved.