• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Mji wa Korogwe
Halmashauri ya Mji wa Korogwe

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Korogwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango Miji na Ardhi
      • Afya
      • Maji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi waJamii
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Tehama na Uhusiano
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Viwanda
    • Mifugo
    • Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Za afya
    • Kielimu
    • Za Maji
    • Za kilimo
    • Mifugo
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Elimu, afya,uchumi na maji
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Picha za Video
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio

Mkuu wa Wilaya ya Korogwe atembelea miradi ya maendeleo

Posted on: July 23rd, 2021

Mkuu wa Wilaya ya Korogwe atembelea miradi ya maendeleo

Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mhe. Basilla Mwanukuzi akiwa na Kamati ya Siasa ya Wilaya ya Korogwe pamoja na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe ametembelea miradi mbalimbali ya maendeleo iliyopo katika Halmashauri ya Mji wa Korogwe. Lengo la kutembelea miradi hiyo ni kuangalia jinsi Taasisi za Serikali zinavyotekeleza ilani ya chama cha Mapinduzi katika kuwaletea Wananchi maendeleo. Ziara hiyo ya kutembelea miradi imefanyika Julai 23, mwaka huu katika maeneo mbalimbali ya Mji wa Korogwe.

“Naomba tuendeleze ushirikiano wetu baina ya Ofisi ya Mkuu wa Wilaya na Halmashauri katika usimamizi mzuri wa miradi ya maendeleo” alisema Mhe. Basilla Mwanukuzi ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Korogwe wakati alipotembelea miradi ya maendeleo. Mhe. Mwanukuzi alifafanua kuwa Wahusika wanazopewa usimamizi wa miradi wanatakiwa  kukamilisha miradi hiyo kwa wakati ili miradi iweze kuwaletea Wananchi maendeleo.

“Natoa pongezi kwa Mkurugenzi pamoja na Wataalamu wote wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe  kwa usimamizi mzuri wa miradi ya maendeleo” alisema Mhe. Dr. Alfred Kimea ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Korogwe Mjini wakati alipotembelea miradi ya maendeleo. Mhe. Dr. Kimea  alisisitiza kuwa yeye pamoja na Ofisi yake wataendelea kushirikiana na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe pamoja na Taasisi nyingine za Serikali zilizopo Mji wa Korogwe katika kuwalete Wananchi maendeleo.

Kwa upande mwengine, Bi. Bernadetha January ambaye ni Afisa Mipango katika Halmashauri ya Mji wa Korogwe anayemuwakilisha Mkurugenzi alisema “ Halmashauri ya Mji wa Korogwe itaendelea kusimamia ilani ya Chama cha Mapinduzi katika kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo kwa Wananchi wa Mji wa Korogwe”. Katika hatua nyingine Bi. Bernadetha  alitoa shukrani kwa Kamati ya Siasa ya Wilaya ya Korogwe kwa kutembelea miradi ya maendeleo na kujionea jinsi ilani ya Chama cha Mapinduzi inavyotekelezwa kwa vitendo.

Katika ziara hiyo Miradi iliyotembelewa na Kamati ya Siasa  ya Wilaya ya Korogwe  ilijumuisha Kikundi cha Walemavu cha Tumaini Jema kilichopo Mtonga Juu, Ujenzi wa Madarasa katika Shule ya Msingi Kwamngumi, Ujenzi wa Maabara katika Shule ya Sekondari Joel Bendera pamoja na kuangalia jinsi Shule ya Sekondari Kimweri inavyonufaika na mradi wa umeme unaotekelezwa na Tanesco. Miradi mingine iliyotembelewa ni Barabara ya Kibo Mamanka iliyopo katika eneo la Kwamkole unaotekelezwa na Tarura, Mradi wa umeme unaotekelezwa na Tanesco uliopo katika eneo la Makwei, na Mradi wa Ujenzi wa Tanki kubwa la Maji unaotekelezwa na Ruwasa uliopo eneo la Rwengela Relini.

Matangazo

  • Tangazo la Kazi - Afya December 06, 2024
  • TANGAZO LA KAZI - AFYA November 26, 2024
  • ERMS OF REFERENCE FOR THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN KOROGWE TOWN UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Serikali yatatua Changamoto ya Makazi kwa Watumishi wa Umma

    July 04, 2025
  • Serikali yatatua Changamoto ya Makazi kwa Watumishi wa Umma

    July 04, 2025
  • Serikali yatatua Changamoto ya Makazi kwa Watumishi wa Umma.

    July 04, 2025
  • Mwakilishi wa Mkuu wa Wilaya ameyataka mashirika yasiyo ya kiserikali kufuata Sheria na miongozo ya Serikali

    July 01, 2025
  • Angalia Zote

Video

Video Zaidi

Kurasa Muhimu

  • Ukodishaji wa Ukumbi
  • Ukasanyaji wa Taka

Tovuti Zinazohusiana

  • TOVUTI YA SERIKALI
  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • MKOA TANGA
  • TUME YA AJIRA
  • PPRA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Korogwe Tanga Tanzania

    S.L.P: 615 Korogwe

    Simu: 0272650050

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@korogwetc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright©2018 Korogwe Town Council. All rights reserved.