• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Mji wa Korogwe
Halmashauri ya Mji wa Korogwe

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Korogwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango Miji na Ardhi
      • Afya
      • Maji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi waJamii
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Tehama na Uhusiano
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Viwanda
    • Mifugo
    • Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Za afya
    • Kielimu
    • Za Maji
    • Za kilimo
    • Mifugo
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Elimu, afya,uchumi na maji
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Picha za Video
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio

Shule ya Sekondari ya Korogwe Girls yasafirisha wanafunzi

Posted on: March 20th, 2020

Shule ya Sekondari ya Korogwe Girls yasafirisha wanafunzi

Uongozi wa Shule ya Sekondari ya  Korogwe Girls iliyopo Wilaya ya Korogwe, Mkoa wa Tanga umekamilisha mchakato wa kusafirisha wanafunzi wote baada ya tamko la Serikali la Machi 17, mwaka huu kutaka shule zote zifungwe kuanzia shule za awali hadi Kidato cha sita kwa lengo la kupambana na maradhi ya Corona.

Akizungumzia mchakato huo, Bi. Annisia Mauka ambaye ni Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Korogwe Girls alisema “ tumekamilisha mchakato wa kusafirisha wanafunzi wote kurudi nyumbani”. Bi. Mauka aliendele kufafanua kuwa mchakato wa kusafirisha wanafunzi takribani mia tisa sabini na saba (977) kuelekea mikoa mbalimbali hapa nchini ulichukua siku tatu kuanzia Jumatano hadi leo Ijumaa kutokana na changamoto ya usafiri.

Katika hatua nyingine Bi. Mauka ametoa ushauri kwa  Shirika la Reli Tanzani  ambalo linafanya safari zake Kati ya Dar es salaam na Arusha kuchangamkia fursa za kusafirisha wanafunzi wanaoelekea Mikoa ya Kanda ya Pwani pamoja na Kanda ya Kaskazini. Katika kipindi cha likizo kuna changamoto kubwa ya usafiri hivyo shirika la reli Tanzania linaweza kuwa mkombozi mkubwa  kwa wanafunzi.

Nae  Mwl. Boniface Kinyemi kutoka shule ya Sekondari ya Korogwe Girls ambaye anaratibu mchakato  wa kusafirisha wanafunzi hapo shuleni alisema “ taratibu zote za safari zinakwenda vyema na mpaka kufikia leo Ijuma wanafunzi wote watafanikiwa kwenda nyumbani”. Kwa upande mwingine wanafunzi walitoa shukrani kwa  uongozi wa shule kwa jitihada walizofanya katika kuhakikisha wanapata usafiri wa kurudi nyumbani.

Matangazo

  • Tangazo la Kazi - Afya December 06, 2024
  • TANGAZO LA KAZI - AFYA November 26, 2024
  • ERMS OF REFERENCE FOR THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN KOROGWE TOWN UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Serikali yatatua Changamoto ya Makazi kwa Watumishi wa Umma

    July 04, 2025
  • Serikali yatatua Changamoto ya Makazi kwa Watumishi wa Umma

    July 04, 2025
  • Serikali yatatua Changamoto ya Makazi kwa Watumishi wa Umma.

    July 04, 2025
  • Mwakilishi wa Mkuu wa Wilaya ameyataka mashirika yasiyo ya kiserikali kufuata Sheria na miongozo ya Serikali

    July 01, 2025
  • Angalia Zote

Video

Video Zaidi

Kurasa Muhimu

  • Ukodishaji wa Ukumbi
  • Ukasanyaji wa Taka

Tovuti Zinazohusiana

  • TOVUTI YA SERIKALI
  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • MKOA TANGA
  • TUME YA AJIRA
  • PPRA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Korogwe Tanga Tanzania

    S.L.P: 615 Korogwe

    Simu: 0272650050

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@korogwetc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright©2018 Korogwe Town Council. All rights reserved.