• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Mji wa Korogwe
Halmashauri ya Mji wa Korogwe

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Korogwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango Miji na Ardhi
      • Afya
      • Maji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi waJamii
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Tehama na Uhusiano
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Viwanda
    • Mifugo
    • Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Za afya
    • Kielimu
    • Za Maji
    • Za kilimo
    • Mifugo
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Elimu, afya,uchumi na maji
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Picha za Video
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio

Wanawake wa Mji wa Korogwe waadhimisha siku ya wanawake duniani

Posted on: March 8th, 2020

Wanawake wa mji wa korogwe waadhimisha siku ya wanawake duniani

Wanawake katika Halmashauri ya Mji wa Korogwe wameadhimisha siku ya wanawake duniani, siku ambayo huadhimishwa dunia nzima ifikapo Machi 8, ya kila mwaka. Maadhimisho ya mwaka huu alifanyika katika eneo la Soko la Kilole lililopo jirani na Kituo kikubwa cha mabasi cha Kilole.

Katika maadhimisho hayo mgeni rasmi alikua Mh. Kissa Kasongwa ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Korogwe.  Wakati wa hotuba Mh. Kasongwa aliwapongeza wanawake kwa jidihada wanazofanya katika kujiletea maendeleo na alisema “ Serikali  itahakikisha  Halmashauri inatenga fedha asilimia kumi (10%)  ya mapato ya ndani kwa ajili ya mikopo ya wanawake ili waweze kujiajiri kupitia shuighuli  mabalimbali za ujasiriamali.”

Akizungumzia maadhimisho hayo  ndugu Charity Sichoma ambaye ni Afisa Maendeleo ya Jamii katika Halmashauri ya Mji wa Korogwe alisema kuwa siku ya wanawake  duniani ni siku ambayo huadhimishwa kila mwaka kwa lengo kuelimisha wanawake kuhusu kupinga vitendo vya unyanyasaji, unyonyaji na ukandamizaji kwa wanawake kijinsia, kiuchumi, kiutamaduni na kiutawala.  Kauli mbiu ya  mwaka mwaka  2020 ni “ kizazi cha usawa kwa maendeleo ya Tanzania ya sasa na badae”

Kwa upande mwingine Bi. Naomi Frederick kutoka Taasisi ya Kupambana na Kuzuia  Rushwa  aliwaasa wanawake kujiepusha na rushwa ya ngono  wakati kwakuomba kazi, kipindi cha uchaguzi au  kwa ajili ya kupewa upendeleo wa aina yoyote. Nae Bi. Jane Samkieli kutoka kikundi cha Agape kinachojishughulisha na kazi za mikono alisema “wanawake tunafuraha kubwa kukutana pamoja katika  siku ya wanawake duniani, siku ya leo itatusaidia  kubadilishana mawazo ya namna ya kujiajiri pamoja na kutafuta fursa za kiuchumi”

Katika  Mji wa Korogwe maadhimisho hayo yaliambatana  na utolewaji wa huduma za afya pamoja na matukio mbalimbali  kama za vile  upimaji wa kansa ya  mlango wa kizazi pamoja na kansa ya matiti, chanjo ya kansa ya matiti kwa wasichana pamoja na  kufanya vipimo vya virusi vya ukimwi  (HIV) na ushauri nasaha. Pia kulitolewa elimu ya kupambana na rushwa, elimu ya ndoa, miradhi na usia  vilevile upandaji wa miti ya aina mbalimbali.

Matangazo

  • Tangazo la Kazi - Afya December 06, 2024
  • TANGAZO LA KAZI - AFYA November 26, 2024
  • ERMS OF REFERENCE FOR THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN KOROGWE TOWN UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Serikali yatatua Changamoto ya Makazi kwa Watumishi wa Umma

    July 04, 2025
  • Serikali yatatua Changamoto ya Makazi kwa Watumishi wa Umma

    July 04, 2025
  • Serikali yatatua Changamoto ya Makazi kwa Watumishi wa Umma.

    July 04, 2025
  • Mwakilishi wa Mkuu wa Wilaya ameyataka mashirika yasiyo ya kiserikali kufuata Sheria na miongozo ya Serikali

    July 01, 2025
  • Angalia Zote

Video

Video Zaidi

Kurasa Muhimu

  • Ukodishaji wa Ukumbi
  • Ukasanyaji wa Taka

Tovuti Zinazohusiana

  • TOVUTI YA SERIKALI
  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • MKOA TANGA
  • TUME YA AJIRA
  • PPRA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Korogwe Tanga Tanzania

    S.L.P: 615 Korogwe

    Simu: 0272650050

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@korogwetc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright©2018 Korogwe Town Council. All rights reserved.