• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Mji wa Korogwe
Halmashauri ya Mji wa Korogwe

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Korogwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango Miji na Ardhi
      • Afya
      • Maji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi waJamii
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Tehama na Uhusiano
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Viwanda
    • Mifugo
    • Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Za afya
    • Kielimu
    • Za Maji
    • Za kilimo
    • Mifugo
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Elimu, afya,uchumi na maji
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Picha za Video
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio

Watumishi wa Mji wa Korogwe wapata mafunzo ya kupambana na ukimwi

Posted on: November 27th, 2019

Watumishi wa mji wa korogwe wapata mafunzo ya kupambana na ukimwi

Halmashauri ya Mji wa Korogwe imetoa mafunzo ya kujikinga na maradhi ya ukimwi kwa watumishi wa umma pamoja na wazee  wanaoishi katika  Mji wa Korogwe. Mafunzo haya yalitolewa novemba 27. Mwaka huu katika ukumbi  wa mikutano wa  Halmashauri ya Mji wa Korogwe.

Akizungumzia mafunzo haya Dkt. Elizabeth Nyema ambaya ni Mganga mkuu wa Halmashuri ya Mji wa Korogwe ambaye pia anamuakilisha Mkurugenzi alisema lengo la mafumzo haya ni kuwakumbusha watumishi wa umma pamoja na wazee wa Mji wa Korogwe kufahamu kuwa ugonjwa wa ukimwi bado upo na nijanga la kitaifa hivyo wasiuchukulie poa sababu unangamizi nguvu kazi ambao ni tegemeo katika maendeleo ya familia na nchi kwa ujumla.

Nae  ndugu Farasi Isihaka ambaye ni muakilishi wa shirika la AFRIWAG linalojihusisha na mapambano dhidi ya ukimwi alisema wazazi hususani wazee wanatakiwa kuwa na tahadhari kubwa wakati wa kumhudumia mgonjwa aliyeathirika na maradhi ya ukimwi ili wanapouguza  wasipate maambukizi. Ndugu Isihaka aliendelea kusema kuwa ni vyema wanachi  kupiga vita mila na desturi za kurithi  wajane ili kujiepusha na  maambukizi mapya ya ukimwi.

Kwa upande mwingine Bi.Jackline Mritha ambaye ni mshiriki wa mafunzo alitoa ushauri kwa wawezeshaji wa mafunzo kuhakikisha wanawafikia wananchi wa vijijini na kuwafundisha namna ya kupambana na ugojwa wa ukimwi pamoja na kumhudumia mgonjwa wa ukimwi.

Matangazo

  • Tangazo la Kazi - Afya December 06, 2024
  • TANGAZO LA KAZI - AFYA November 26, 2024
  • ERMS OF REFERENCE FOR THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN KOROGWE TOWN UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Waratibu Elimu kata na Wali Wakuu wa Shule za Msingi za Mji wa Korogwe wajengewa uwezo wa usimamizi wa ufundishaji na Ujifunzaji.

    June 27, 2025
  • Mradi wa TACTIC kuimarisha Huduma za Usafirishaji kwa Miji 12 Tanzania.

    June 26, 2025
  • Halmashauri ya Mji wa Korogwe yaadhimisha Siku ya Wajane Duniani.

    June 23, 2025
  • Shule ya Msingi Kwamngumi yalima Hekari mbili za Mahindi

    June 19, 2025
  • Angalia Zote

Video

Video Zaidi

Kurasa Muhimu

  • Ukodishaji wa Ukumbi
  • Ukasanyaji wa Taka

Tovuti Zinazohusiana

  • TOVUTI YA SERIKALI
  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • MKOA TANGA
  • TUME YA AJIRA
  • PPRA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Korogwe Tanga Tanzania

    S.L.P: 615 Korogwe

    Simu: 0272650050

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@korogwetc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright©2018 Korogwe Town Council. All rights reserved.