Soma maelekezo yafuatayo kisha bofya sehemu iliyoandikwa "bofya hapa"
Bonyeza "Jisajili" kwenye ukurasa wa Watumishi Portal.Ingiza Majina yako, barua pepe, cheki Namba na neno siri.
utapokea ujumbe unaosema "Hongera! tumekutumia ujumbe katika "emailyako@kikoa.com" (hii ni email uliyojisajilia)
Nenda kwenye barua pepe yako, fungua na utakuta ujumbe umetumwa kutoka utumishi.
Bonyeza maandishi yaliyoandikwa "Hakiki Ufunguaji Akaunti ya Huduma za Watumishi Portal" na ukurasa utafunguka
Ingiza Barua Pepe yako na neno la siri uliloingiza wakati unajisajili. BofyaIngia. Ukurasa utafunguka..
Bofya sehemu iiiyoandikwa "Bofya hapa" yenye kichwa Taarifa za Kiutumishi. Ukurasa wenye taarifa zako za kiutumishi utatokea