• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Mji wa Korogwe
Halmashauri ya Mji wa Korogwe

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Korogwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango Miji na Ardhi
      • Afya
      • Maji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi waJamii
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Tehama na Uhusiano
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Viwanda
    • Mifugo
    • Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Za afya
    • Kielimu
    • Za Maji
    • Za kilimo
    • Mifugo
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Elimu, afya,uchumi na maji
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Picha za Video
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio

Mikakati

MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA MJI WA KOROGWE

Halmashauri ya mji wa korogwe imeweka mikakati  na mipango mbalimbali  katika jitihada za kutoa huduma na kuwaletea wananchi wa Korogwe maendeleo.Mikakati hiyo inaenda sawia na utekelezaji wa ilani ya Chama cha Mapinduzi  2015-2020 na inalenga Nyanja zote za kijamii,kitamaduni na kiuchumi kama vile kilimo, maji, ufugaji, afya, elimumu  biashara na maendeleo ya jamii.Yafuatayo ni baadhi tu ya malengo na mikakati inayotekelezwa:-

Afya

  • Kuanza ujenzi wa vituo vya afya katika kata  2 za Majengo na Bagamoyo  ifikapo Disemba 2018.
  • Kuhakikisha kuwa wilaya inakuwa na Hospitali ifikapo Disemba 2018.
  • Kuwapatia motisha watumishi  32 wa Afya walio katika maeneo yeneye mazingira magumu ifikapo Disemba 2018.
  • Kuimarisha upatikanaji wa huduma za dharura na kawaida kwa wagongwa katika vituo 16.ifikapo Disemba 2018.

Elimu

  • Kuongeza uandaikishaji kwa kuwaandikisha wanafunzi  lengwa  wapatao 514 wavulana na  wasichana 514  jumla 966  sawa asilimia 69.6% kuingia kidato cha kwanza ifikapo Disemba 2018.
  • Kutekeleza mpango wa TEHAMA  kwa kuwezesha walimu na wanafunzi wa shule 29 ifikapo Disemba 2018.
  • Kuongeza kiwango cha ufaulu wa Mtihani wa kumaliza Elimu ya msingi kufikia asilimia 100 ifikapo Disemba 2018.

Kilimo

  • Kukamilisha ujenzi wa skimu ya Umwagiliaji  01 ya Mahenge Ifikapo Desemba 2018.
  • Kujenga/Kukarabati/Kuboresha skimu 02 za umwagiliaji za wakulima wadogo za Mahenge na Kwamngumi ifikapo Disemba 2018.
  • Kujenga  Mabwawa ya kuvunia maji ya mvua 02 katika kata za Mgombezi na Kwamsisi kwa ajili ya kilimo cha mpunga ifikapo Disemba 2018.
  • Kuhamasisha wakulima 930 kupitia vyama vyao vya umwagiliaji kuchangia katika ujenzi wa mifereji midogo ya kuingiza maji mashambani na kushiriki katika kutunza mifereji hiyo ifikapo Disemba 2018.
  • Kuzalisha jumla ya tani 12,000 za mbegu za mazao ya mahindi, maharage 797, bustani 54  kwa kushirikiana na taasisi za umma na binafsi ifikapo Disemba 2018.
  • Kuhamasisha sekta binafsi na vyama vya ushirika ili kuanzisha viwanda 06 vya kusindika mazao ya kilimo ifikapo Disemba 2018.
  • Kuwawezesha wakulima 3800 kupata elimu ya matumizi ya teknolojia rahisi ya uhifadhi wa chakula ifikapo Disemba 2018.

Ufugaji

  • Kuongeza  upatikanaji wa mitamba hadi kufikia 10  na kusambaza kwa  wafugaji ifikapo Disemba 2018.
  • Kuwezesha Kikundi cha wafugaji sungura 01 Kata yaMagunga na Masuguru ili  kupata dhamana kwenye Taasisi za fedha ifikapo Disemba 2018.
  • Kuwawezesha vikundi vya wafugaji 2 katika kata ya Ngombezi kupata mafunzo ya ufugaji bora na kupata mikopo ya  kopa ng’ombe lipa ng’ombe  ifikapo Disemba 2018.
  • Kutoa elimu na Kuhamasisha wafugaji wa samaki katika kata ya Kwamndolwa, Ngombezi,kwamsisi na Mtonga kuchimba mabwawa maeneo ya ukame ifikapo Disemba 2018.

  Biashara na viwanda

  • Kuhamasisha uanzishwaji wa kiwanda  cha kati 01 na vidogo 10 katika kila Halmashauri  za mkoa kwa kutumia fursa na rasilimali zilizopo ifiakapo Disemba 2018.
  • Kuwahamasisha wawekezaji kuwekeza katika viwanda vidogo hasa vinavyotumia  malighafi zinazopatikana kama vile viwanda vya matunda na nafaka.

Maendeleo ya jamii

  • Kuwezesha vikundi  145  kupata mikopo  yenye masharti nafuu toka asilimia 4%.
  • Kuwezesha vikundi  25 vya wanawake kupewa mikopo kwa vikundi vya wanawake kutoka benki na Taasisi zingine za fedha.
  • Kuwashirikisha vijana 350  katika nafasi za maamuzi kwa kuzingatia welezi na uadili.

 

Matangazo

  • MAJINA YA WATU WALIOITWA KWENYE USAILI - KOROGWE TC July 05, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI May 24, 2022
  • KOROGWE GIRLS S.S JOINING INSTRUCTIONS 2020/2021 December 15, 2020
  • KWAMNDOLWA S.S JOINING INSTRUCTIONS 2020/2021 December 15, 2020
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Mji wa Korogwe wapanga kutumia Shilingi Bilioni 26 Mwaka 2023/24

    February 09, 2023
  • TARURA yatenga Shilingi Bilioni 1.8 ujenzi wa barabara Mji wa Korogwe

    February 03, 2023
  • Mji wa Korogwe watoa Mkopo wenye thamani ya Shilingi Milioni 97

    January 11, 2023
  • Mji wa Korogwe wapata Mradi wa ujenzi wa mfumo wa kisasa wa Maji Taka

    January 11, 2023
  • Angalia Zote

Video

Video Zaidi

Kurasa Muhimu

  • Ukodishaji wa Ukumbi
  • Ukasanyaji wa Taka

Tovuti Zinazohusiana

  • TOVUTI YA SERIKALI
  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • MKOA TANGA
  • TUME YA AJIRA
  • PPRA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Korogwe Tanga Tanzania

    S.L.P: 615 Korogwe

    Simu: 0272650050

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@korogwetc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright©2018 Korogwe Town Council. All rights reserved.