• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Mji wa Korogwe
Halmashauri ya Mji wa Korogwe

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Korogwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango Miji na Ardhi
      • Afya
      • Maji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi waJamii
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Tehama na Uhusiano
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Viwanda
    • Mifugo
    • Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Za afya
    • Kielimu
    • Za Maji
    • Za kilimo
    • Mifugo
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Elimu, afya,uchumi na maji
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Picha za Video
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio

Jhpiego, Pfizer Foundation wajipanga kutoa Mashine ya Upimaji wa Viashiria vya Saratani katika Mji wa Korogwe

Posted on: May 15th, 2024

Jhpiego, Pfizer Foundation wajipanga kutoa Mashine ya Upimaji wa Viashiria vya Saratani katika Mji wa Korogwe

Taasisi ya Jhpiego Pamoja na Pfizer Foundation wamejipanga kutoa Mashine ya Upimaji wa Viashiria vya Saratani ya Matiti katika Mji wa Korogwe. Mashine hiyo yenye uwezo wa kuhamishika kutoka eneo moja hadi jingine itakuwa chini ya usimamaizi wa Hospitali ya Mji wa Korogwe (Magunga). Ahadi hiyo ilitolewa na Mwakilishi wa Taasisi ya Jhpiego Dkt. Sunday Wanyika wakati akitoa Mafunzo ya jinsi ya kupunguza madhara ya Ugonjwa wa Saratani ya Matiti katika Jamii. Mafunzo hayo ya Siku Moja yalifanyika Mei 15, Mwaka huu (2024) katika Ukumbi wa Mikutano wa Haule uliopo Mjini Korogwe.

Mafunzo hayo ya kuwajengea Watu uwezo jinsi ya kupunguza madhara ya Ugonjwa wa Saratani ya Matiti katika Jamii yalihudhuriwa na Washiriki mbalimbali wakiwemo Wataalamu wa Afya, Viongozi mbalimbali pamoja na Waandishi wa Habari. Mgeni Rasmi katika mafunzo hayo alikua Mkurugenzi wa Halmshauri ya Mji wa Korogwe Bi. Mwashabani Mrope.

 

Matangazo

  • ERMS OF REFERENCE FOR THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN KOROGWE TOWN UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • KLINIKI YA ARDHI KOROGWE MJI August 11, 2025
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Mkurugenzi wa Mji wa Korogwe akabidhi Kompyuta Mpakato kwa Idara ya Kilimo.

    September 10, 2025
  • Mkurugenzi wa Mji wa Korogwe akabidhi Kompyuta Mpakato kwa Idara ya Kilimo.

    September 10, 2025
  • Halmashauri ya Mji wa Korogwe yaadhimisha ya Juma la Elimu ya Watu Wazima.

    September 08, 2025
  • Halmashauri ya Mji wa Korogwe yaadhimisha ya Juma la Elimu ya Watu Wazima.

    September 08, 2025
  • Angalia Zote

Video

Video Zaidi

Kurasa Muhimu

  • Ukodishaji wa Ukumbi
  • Ukasanyaji wa Taka

Tovuti Zinazohusiana

  • TOVUTI YA SERIKALI
  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • MKOA TANGA
  • TUME YA AJIRA
  • PPRA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Korogwe Tanga Tanzania

    S.L.P: 615 Korogwe

    Simu: 0272650050

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@korogwetc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright©2018 Korogwe Town Council. All rights reserved.