• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Mji wa Korogwe
Halmashauri ya Mji wa Korogwe

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Korogwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango Miji na Ardhi
      • Afya
      • Maji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi waJamii
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Tehama na Uhusiano
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Viwanda
    • Mifugo
    • Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Za afya
    • Kielimu
    • Za Maji
    • Za kilimo
    • Mifugo
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Elimu, afya,uchumi na maji
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Picha za Video
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio

Katibu Tawala Mkoa wa Tanga atembelea Ujenzi wa Madarasa

Posted on: July 4th, 2023

Katibu Tawala Mkoa wa Tanga  atembelea Ujenzi wa Madarasa

Katibu Tawala Mkoa Tanga Bi. Pili Mnyema ametembelea Mradi wa Ujenzi wa Vyumba vya Madarasa katika Shule za Msingi zilizopo Halmashauri ya Mji wa Korogwe. Ujenzi huo wa Vyumba vya Madarasa unatekelezwa chini ya Mradi wa BOOST kwa thamani ya Shilingi Milioni Mia Sita Sabini na Nne na Laki Moja (674,100,000.00/=). Ziara hiyo ilifanyika Julai 04, Mwaka huu katika maeneo mabalimbali ya Mji wa Korogwe.

“Natoa pongezi kwa Mkurugenzi na Wataalamu wote kwa usimamizi mzuri wa Ujenzi wa  Madarasa” alisema Bi. Pili Mnyema ambaye ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga wakati akikagua Ujenzi wa Vyumba vya Madarasa katika Mji wa Korogwe. Bi. Pili alifafanua kuwa  Serikali chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Dkt. Samia Suluhu Hassan imejipanga vyema katika uboreshaji wa Miundombinu ya Elimu ili Wanafunzi waweze kusoma katika mazingira mazuri.

 “Tunashukuru Katibu Tawala kutembelea Mji wa Korogwe  ili kuona hatua mbalimbali tulizofikia katika utekelezaji wa Mradi wa Ujenzi wa Vyumba vya Madarasa” alisema Bw. Tito Mganwa ambaye ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe. Bw. Tito alisisitiza kuwa Halmashauri itahakikisha inatekeleza Mradi wa Ujenzi wa Vyumba vya Madarasa kwa kufuata kanuni na taratibu zote za ujenzi ili kufikia lengo la Serikali katika uboreshaji wa elimu.

Matangazo

  • MAJINA YA WATU WALIOITWA KWENYE USAILI - KOROGWE TC July 05, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI May 24, 2022
  • KOROGWE GIRLS S.S JOINING INSTRUCTIONS 2020/2021 December 15, 2020
  • KWAMNDOLWA S.S JOINING INSTRUCTIONS 2020/2021 December 15, 2020
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Shule ya Sekondari Semkiwa yapata Msaada wa Kompyuta

    August 23, 2023
  • Mwanaidi Rajabu: Acheni kutumia muda wa kazi za Umma kufanya kazi binafsi

    August 22, 2023
  • Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe atembelea Miradi ya Maendeleo

    August 18, 2023
  • Mkurugenzi wa Mji wa Korogwe apokea Cheti cha Shukrani kutoka Shirika la US Peace Corps Tanzania

    July 12, 2023
  • Angalia Zote

Video

Video Zaidi

Kurasa Muhimu

  • Ukodishaji wa Ukumbi
  • Ukasanyaji wa Taka

Tovuti Zinazohusiana

  • TOVUTI YA SERIKALI
  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • MKOA TANGA
  • TUME YA AJIRA
  • PPRA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Korogwe Tanga Tanzania

    S.L.P: 615 Korogwe

    Simu: 0272650050

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@korogwetc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright©2018 Korogwe Town Council. All rights reserved.