• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Mji wa Korogwe
Halmashauri ya Mji wa Korogwe

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Korogwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango Miji na Ardhi
      • Afya
      • Maji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi waJamii
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Tehama na Uhusiano
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Viwanda
    • Mifugo
    • Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Za afya
    • Kielimu
    • Za Maji
    • Za kilimo
    • Mifugo
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Elimu, afya,uchumi na maji
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Picha za Video
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio

MADIWANI WAONYESHA HAMASA KUFUATILIA MIRADI

Posted on: February 4th, 2026

Kamati ya Fedha na utawala imekagua miradi inayoendelea kutekelezwa ikiwa ni utaratibu wa kukagua miradi kipindi cha robo ya pili kwa mwaka wa fedha 2025/2026, Katika Ziara hiyo Kamati ya Fedha wamepongeza Timu ya Menejimenti kwa usimamiaji mzuri wa Miradi na kutoa maelekezo kuwa ifikapo Februari 20 miradi yote iwe imekamilika kwa 100%.

Ziara hiyo imefanyika Februari 4, 2026 katika maeneo mbalimbali ikiwemo Ujenzi wa shule mpya ya awali na msingi Joel Bendera, ujenzi wa madarasa 2 ya mfano ya Awali, madarasa 3 ya msingi na matundu 12 ya vyoo katika kituo shikizi cha Kitifu,Ujenzi wa madarasa 3 na matundu 6 ya vyoo shule ya msingi Mbeza,Ukamilishaji wa Mnada Kwamsisi, ukamilishaji wa nyumba ya Mganga Zahanati ya Lwengera Darajani pamoja na Ujenzi wa madarasa 2 ya awali ya mfano na madarasa 3 ya msingi pamoja na matundu 6 ya vyoo katika shule shikizi ya Lwengera Relini.

Mwenyekiti wa Halmashauri Mh. Ali Mkwavingwa ambaye pia ni Mwenyekiti wa kamati ya fedha na utawala katika kikao cha majumuisho, ameishukuru serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuleta tabasamu kwa wanafunzi na wananchi kwa kuwajengea madarasa kwani elimu ndio nguzo ya maendeleo ya kila mwanadamu. Pia kuongezeka kwa madarasa na shule kutasaidia kupunguza msongamano darasani, kutokutembea umbali mrefu kufuata shule kutasaidia kusoma katika mazingira rafiki na hatimae kuongeza ari ya kupenda elimu.

Naye Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe Bi. Zahara Msangi ameahidi miradi hiyo kukamilika kwa wakati kama kamati ilivyoelekeza.

Matangazo

  • ERMS OF REFERENCE FOR THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN KOROGWE TOWN UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • KLINIKI YA ARDHI KOROGWE MJI August 11, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI October 06, 2025
  • UWEPO WA FEDHA TSH. 100,000.000/= KUVIKOPESHA VIKUNDI. January 21, 2026
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • WANAFUNZI WAPEWA KINGA YA MINYOO TUMBO NA KICHOCHO

    February 12, 2026
  • WANAFUNZI WAPEWA KINGA YA MINYOO TUMBO NA KICHOCHO

    February 12, 2026
  • WANAFUNZI WAPEWA KINGA YA MINYOO TUMBO NA KICHOCHO

    February 12, 2026
  • WANAFUNZI WAPEWA KINGA YA MINYOO TUMBO NA KICHOCHO

    February 12, 2026
  • Angalia Zote

Video

Video Zaidi

Kurasa Muhimu

  • Ukodishaji wa Ukumbi
  • Ukasanyaji wa Taka

Tovuti Zinazohusiana

  • TOVUTI YA SERIKALI
  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • MKOA TANGA
  • TUME YA AJIRA
  • PPRA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Korogwe Tanga Tanzania

    S.L.P: 615 Korogwe

    Simu: 0272650050

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@korogwetc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright©2018 Korogwe Town Council. All rights reserved.