• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Mji wa Korogwe
Halmashauri ya Mji wa Korogwe

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Korogwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango Miji na Ardhi
      • Afya
      • Maji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi waJamii
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Tehama na Uhusiano
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Viwanda
    • Mifugo
    • Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Za afya
    • Kielimu
    • Za Maji
    • Za kilimo
    • Mifugo
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Elimu, afya,uchumi na maji
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Picha za Video
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio

Mkuu wa Wilaya ya Korogwe azindua Shule mpya

Posted on: January 16th, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Korogwe azindua Shule mpya

Afisa Tarafa, Tarafa ya Korogwe Bi. Grory Sanga kwaniaba ya Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mhe. William Mwakilema amezindua Shule Mpya ya Sekondari ya Msambiazi iliyopo Kata ya Mtonga.   Uzinduzi wa  shule  hiyo nihatua mojawapo ya utekelezaji wa  Ilani ya Chama cha Mapinduzi  (CCM)  kwa Vitendo pamoja  na ahadi  ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika uboreshaji wa Miundombinu ya Elimu hapa Nchini. Uzinduzi wa Shule ya Sekondari Msambiazi umefanyika Januari 16, Mwaka huu katika viwanja vya shule hiyo katika eneo la Msambiazi.

 Mradi wa  Ujenzi wa Shule ya Sekondari Msambiazi umetekelezwa  kwa gharama ya Shilingi Milioni  Mia Tano na Themanini na Nne,  fedha  zote zilitolewa na Serikali Kuu kupita Mradi wa SEQUIP.  Mradi wa Ujenzi wa Shule ya Sekondari Msambiazi tayari  umeshakamiliaka kwa Asilimia Mia Moja ukihusisha Vyumba Nane vya Madarasa,  Chumba cha Komputa, Maktaba, Maabara Tatu, Kichomea Taka pamoja na Jengo la Utawala.

“Nitoe pongezi kwa Mkurugenzi na Wataalamu wote wa Halmashashauri  ya Mji wa Korogwe kwa kukamilisha Mradi huu wa shule kwa wakati” alisema Bi. Grory Sanga ambaye ni Afisa Tarafa, Tarafa ya Korogwe aliyemuwakilisha Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mhe. William Mwakilema katika uzinduzi wa Shule  hiyo. Bi. Grory  alisisitiza kuwa ni vyema Walimu na Wanafunzi wakajitahidi kutunza Mradi huo ili uweze kudumu kwaaajili ya vizazi vijavyo.

“Nitoe shukrani zangu za dhati kwa Wananchi wa Msambiazi, Kwamasimba pamoja na Antakae wa kujitoa kwa dhati  katika  msaragambo mpaka ufanikishaji wa shule hii, kukamilika kwa shule hii nifahari yetu wote” alisema Mhe. Francis Komba ambaye ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe. Nao Wananchi wa Mtaa wa Msambiazi ambao ni wanufaika wa Mradi wa Ujenzi wa Shule ya Sekondari  Msambiazi walitoa shukrani zao kwa  Serikali kwa utekelezaji wa Shule hiyo jirani na maeneo yao.

Matangazo

  • Tangazo la Kazi - Afya December 06, 2024
  • TANGAZO LA KAZI - AFYA November 26, 2024
  • ERMS OF REFERENCE FOR THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN KOROGWE TOWN UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Waratibu Elimu kata na Wali Wakuu wa Shule za Msingi za Mji wa Korogwe wajengewa uwezo wa usimamizi wa ufundishaji na Ujifunzaji.

    June 27, 2025
  • Mradi wa TACTIC kuimarisha Huduma za Usafirishaji kwa Miji 12 Tanzania.

    June 26, 2025
  • Halmashauri ya Mji wa Korogwe yaadhimisha Siku ya Wajane Duniani.

    June 23, 2025
  • Shule ya Msingi Kwamngumi yalima Hekari mbili za Mahindi

    June 19, 2025
  • Angalia Zote

Video

Video Zaidi

Kurasa Muhimu

  • Ukodishaji wa Ukumbi
  • Ukasanyaji wa Taka

Tovuti Zinazohusiana

  • TOVUTI YA SERIKALI
  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • MKOA TANGA
  • TUME YA AJIRA
  • PPRA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Korogwe Tanga Tanzania

    S.L.P: 615 Korogwe

    Simu: 0272650050

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@korogwetc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright©2018 Korogwe Town Council. All rights reserved.