Mrope: Mpaka kufikia Juni 30, 2024 Miradi yote ya Sekta ya Elimu iwe imekamilika 100%
Mkurugenzi wa Mji wa Korogwe Bi. Mwashabani Mrope amewataka Wakandarasi pamoja na Wakuu Wote wa Shule za Msingi na Sekondari waliopatiwa fedha za utekelezaji wa Miradi ya Ujenzi wa Vyumba vya Madarasa pamoja na Matundu ya Vyoo tokea Mwezi Aprili, 2024 kuhakikisha mpaka kufikia Juni, 30 Mwaka huu, Miradi yote iwe imekamilika kwa Asilimia Mia Moja. Kauli hiyo aliitoa Juni 27, Mwaka huu wakati alipotembelea Miradi hiyo katika Maeneo mbalimbali ya Mji wa Korogwe kujione utekelezaji wake.
Korogwe Tanga Tanzania
S.L.P: 615 Korogwe
Simu: 0272650050
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@korogwetc.go.tz
Copyright©2018 Korogwe Town Council. All rights reserved.