Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Korogwe Mjini Bw. Elinlaa Kivaya (kushoto) akimkabidhi fomu Mgombea Ubunge Jimbo la Korogwe Mjini kwa tikiketi ya chama cha Wakulima (Alliance for Africa Farmers Party) AAFP Bw. Ayubu Mwanguto (kulia) Agosti 19 ,2025 katika Ofisi ya Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Korogwe Mjini. Katika makabidhiano hayo yaliyofanyika katika Ofisi ya Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Korogwe Mjini yameshuhudiwa na Afisa Uchaguzi Jimbo la Korogwe Mjini Bw. Musa Dotti, Mwenyekiti wa Chama cha Alliance for Africa Farmers Prty (AAFP) Mkoa wa Tanga Bw.Abdallah Hassani Pamoja na katibu wa Chama hicho ngazi ya Mkoa Bw.Twaha Mahaba. “KURA YAKO HAKI YAKO, JITOKEZE KUPIGA KURA
Korogwe Tanga Tanzania
S.L.P: 615 Korogwe
Simu: 0272650050
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@korogwetc.go.tz
Copyright©2018 Korogwe Town Council. All rights reserved.