Wanufaika wa mkopo wa asilimia kumi watakiwa kurejesha mkopo kwa wakati
Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mhe. William Mwakilema amewataka Wananchi walionufaika na mkopo wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe unaotokana na mapato ya asilimia kumi kurejesha mkopo huo kwa wakati ili uweze kuwanufaisha Wananchi wengine. Mhe. Mwakilewa alitoa nasaha hiyo Desemba 18, 2024 wakati wa hafla ya kukabidhi hundi yenye thamani ya shilingi milioni mia bili na hamsini kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye ulemavu iliyofanyika katika Ukumbi wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe.
Korogwe Tanga Tanzania
S.L.P: 615 Korogwe
Simu: 0272650050
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@korogwetc.go.tz
Copyright©2018 Korogwe Town Council. All rights reserved.