• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Mji wa Korogwe
Halmashauri ya Mji wa Korogwe

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Korogwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango Miji na Ardhi
      • Afya
      • Maji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi waJamii
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Tehama na Uhusiano
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Viwanda
    • Mifugo
    • Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Za afya
    • Kielimu
    • Za Maji
    • Za kilimo
    • Mifugo
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Elimu, afya,uchumi na maji
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Picha za Video
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio

Waratibu wa Mwenge wa Uhuru watembelea Miradi ya Mendeleo Mji wa Korogwe

Posted on: February 26th, 2024

Waratibu wa Mwenge wa Uhuru watembelea Miradi ya Mendeleo Mji wa Korogwe

Timu ya Uratibu wa Mwenge wa Uhuru Mkoa wa Tanga ikiambatana pamoja na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Korogwe pamoja  na Wataalamu mbalimbali wa Taasisi za Serikali zilizopo Mji wa Korogwe imetembelea Miradi ya Maendeleo iliyopendekezwa kupitiwa na Mwenge wa Uhuru Mwaka huu. Mwenge wa Uhuru kwa Mwaka 2024, unatarajiwa kuwasili katika Mji wa Korogwe Aprili 10, Mwaka huu. Ziara hiyo ya Timu ya Waratibu wa Mbio za Mwenge ilifanyika Februari 26, Mwaka huu katika maeneo mbalimbali ya Mji wa Korogwe.

Kauli Mbiu ya Mwenge wa Uhuru kwa Mwaka 2024 ni: “Tunza Mazingira na Shiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa Maendeleo Endelevu”

Timu ya Uratibu wa Mwenge ilitembelea Miradi mbalimbali ya Maendeleo iliyopendekezwa kupitiwa na Mwenge wa Uhuru Mwaka 2024  ili Timu ya Uratibu wa Mwenge iweze kujiridhisha kukamilika kwa Miradi hiyo. Miradi hiyo ni pamoja na Mradi wa Tanki la Maji  katika Eneo la Bagamoyo,  Ujenzi wa  Nyumba ya Mwalimu Shule ya Sekondari New Bagamoyo, Kikundi cha Vijana  cha Kisimo kinachojishughulisha na Ujenzi, Uchoraji wa Ramani za Majengo pamoja na Utengenezaji wa Mapambo.

Miradi Mingine ya Maendeleo ni Ukamilishaji wa Zahanati ya Lwengera Darajani, Matengenezo ya Barabara ya White House Kilomita 0.57 kwa Kiwango cha Lami, Shughuli za Uhifadhi wa Mazingira zinazofanywa na Forest Focus, Shughuli za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Shule ya Msingi Kilimani, Pamoja na Shughuli za Kikundi cha Watu wenye uhitaji Maalumu Shule ya Msingi Kilimani katika Kitengo cha Watu Wenye Uhitaji Maalumu.

“Natoa pongezi kwa maandalizai mazuri ya Miradi ya Maendeleo, natumaini baadhi ya changamoto ndogondogo zilizojitokeza katika miradi zitakamilishwa ndani ya muda mfupi” Alisema Bw. Timotheo Sosia amabye ni Mratibu wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Mkoa wa Tanga  Mwaka 2024 wakati wa ziara ya kukagua Miradi ya Maendele iliyopendekezwa kupitiwa na Mwenge wa Uhuru katika Mji wa Korogwe. Bw. Sosia alisisitiza kuwa Miradi yote iliyopendekezwa itaendelea kufanyiwa ukaguziwa mpaka zoezi la Mbio za Mwenge litakapokamilika.

Matangazo

  • Tangazo la Kazi - Afya December 06, 2024
  • TANGAZO LA KAZI - AFYA November 26, 2024
  • ERMS OF REFERENCE FOR THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN KOROGWE TOWN UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Uboreshaji wa daftari la kudumu la mpiga kura kwa awamu ya pili laendelea Jimbo la Korogwe mjini

    May 17, 2025
  • Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Tanga akagua miradi ya maendeleo Halmashauri ya Mji wa Korogwe.

    May 16, 2025
  • Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Halmashauri ya Mji wa Korogwe atembelea Ujenzi wa Miradi ya maendeleo.

    May 16, 2025
  • Waandishi Wasaidizi na Waendesha Vifaa vya Bayometriki waapishwa.

    May 15, 2025
  • Angalia Zote

Video

Video Zaidi

Kurasa Muhimu

  • Ukodishaji wa Ukumbi
  • Ukasanyaji wa Taka

Tovuti Zinazohusiana

  • TOVUTI YA SERIKALI
  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • MKOA TANGA
  • TUME YA AJIRA
  • PPRA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Korogwe Tanga Tanzania

    S.L.P: 615 Korogwe

    Simu: 0272650050

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@korogwetc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright©2018 Korogwe Town Council. All rights reserved.