Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Jamii Halmashauri ya Mji wa Korogwe Bi. Happy Luteganya akiambatana na wataalamu wa maendeleo ya jamii ametembelea vikundi vilivyonufaika na mikopo ya asilimia kumi kutoka mapato ya ndani ya Halmashauri ya Mji wa Korogwe.
Ziara hiyo ilifanyika Novemba 5, 2025 katika Kata ya Kwamndolwa Halmashauriya Mji wa Korogwe.
Vikundi vilivyotembelewa vilikuwa ni kikundi cha vijana Vission kilichopo katika kata ya Kilole kinachojishughulisha na shughuli za kilimo cha matunda na mbogamboga pamoja na kikundi cha wanawake cha Mahenge kilichopo kata ya Kwamndolwa kinachojishughulisha na shughuli ya usagaji na ukoboaji wa nafaka mbalimbali.
Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Jamii Halmashauri ya Mji wa Korogwe Bi. Happy Luteganya akiambatana na wataalamu wa maendeleo ya jamii ametembelea vikundi vilivyonufaika na mikopo ya asilimia kumi kutoka mapato ya ndani ya Halmashauri ya Mji. Ziara hiyo ilifanyika Novemba 5, 2025 katika Kata ya Kwamndolwa Halmashauriya Mji wa Korogwe.
Vikundi vilivyotembelewa vilikuwa ni kikundi cha vijana Vission kilichopo katika kata ya Kilole kinachojishughulisha na shughuli za kilimo cha matunda na mbogamboga pamoja na kikundi cha wanawake cha Mahenge kilichopo kata ya Kwamndolwa kinachojishughulisha na shughuli ya usagaji na ukoboaji wa nafaka mbalimbali.
Korogwe Tanga Tanzania
S.L.P: 615 Korogwe
Simu: 0272650050
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@korogwetc.go.tz
Copyright©2018 Korogwe Town Council. All rights reserved.