MAJUKUMU YA KITENGO
• Kusimamia manunuzi yote ya Halmashauri.
• Kutekeleza maamuzi ya Bodi ya Zabuni,
• Kusaidia utendaji kazi wa Bodi ya Zabuni,
• Kuandaa Mpango wa manunuzi wa Halmashauri
• Angalia na kuandaa taarifa za mahitaji mbalimbali,
• Kuandaa na kutangaza zabuni.
• Kuandaa hati za mikataba;
• Kutoa hati ya mkataba uliopitishwa;
• Kutunza za rekodi za manunuzi na taarifa za mchakato wa zabuni
• Kutunza orodha/rejista ya mikataba yote tuzo;
• Kuandaa ripoti za kila mwezi kwa ajili ya bodi ya zabuni na kamati za Fedha na Utawala
Korogwe Tanga Tanzania
S.L.P: 615 Korogwe
Simu: 0272650050
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@korogwetc.go.tz
Copyright©2018 Korogwe Town Council. All rights reserved.