• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Mji wa Korogwe
Halmashauri ya Mji wa Korogwe

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Korogwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango Miji na Ardhi
      • Afya
      • Maji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi waJamii
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Tehama na Uhusiano
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Viwanda
    • Mifugo
    • Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Za afya
    • Kielimu
    • Za Maji
    • Za kilimo
    • Mifugo
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Elimu, afya,uchumi na maji
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Picha za Video
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio

Za afya

Idara ya Afya ni mojawapo ya  Idara zinazotoa huduma ya Afya kwa jamii katika Halmashauri ya Mji Korogwe. 

Halmashauri inasimamia vituo vya kutolea Huduma za Afya 13 ambavyo 7 ni vya serikali, 2 ni vya mashirika ya dini na 4 vya watu binafsi

MAJUKUMU YA IDARA:

  • Kutoa Huduma mbalimbali za Tiba
  • Chanjo kwa watoto umri chini ya miaka mitano na akina mama wenye umri wa miaka 15 hadi 45
  • Huduma za Upimaji wa  Virusi vya Ukimwi, ushauri Nasaha na utoaji wa dawa za kufubaza virusi vya Ukimwi
  • Huduma za Afya ya Mama na Mtoto
  • Kushughulika na Huduma za Kinga
  • Kutoa elimu ya afya na Ushauri nasaha katika tiba
  • Kufanya utafiti wa magonjwa na tafiti zingine katika eneo la afya.
  • Kuhamasiha kaya,Taasisi za serikali na zisizo za serikali pamoja na shule za sekondari kujiunga na mfuko wa afya ya jamii

JINSI HUDUMA ZINAVYOPATIKANA

Huduma hutolewa kwa wananchi wote wa Halmashauri ya Mji kwa mgawanyiko wa  makundi matano (5) kama ifuatavyo;-

Watoto chini ya Umri wa Miaka mitano na Akina mama wajawazito ambao matibabu yao ni bure

  • Wateja wa Bima ya Afya ya Taifa (NHIF)
  • Wateja wa mfuko wa Afya ya Jamii (TIKA)
  • Wateja wa Msamaha na Wazee
  • Wateja wa Papo kwa Papo ambao hawapo kwenye mfuko wowote


ORODHA YA VITUO VYA KUTOLEA HUDUMA YA AFYA MJI WA KOROGWE

NA JINA LA KITUO CHA KUTOLEA HUDUMA KATA MMILIKI
1 KITUO CHA AFYA CHA St. RAPHAEL OLD KOROGWE TAASISI YA DINI
2 KTUO CHA AFYA CHA St. JOSEPH KWAMNDOLWA TAASISI YA DINI
3 ZAHANATI YA MAJENGO MAJENGO SERIKALI
4 ZAHANATI YA KILOLE BAGAMOYO SERIKALI
5 ZAHANATI YA MTONGA MTONGA SERIKALI
6 ZAHANATI YA MSAMBIAZI MSAMBIAZI SERIKALI
7 ZAHANATI YA MGOMBEZI MGOMBEZI SERIKALI
8 ZAHANATI YA KWAMNDOLWA KWAMNDOLWA SERIKALI
9 ZAHANATI YA KWAMSISI KWAMSISI SERIKALI
10 ZAHANATI YA MANUNDU MANUNDU BINAFSI
11 ZAHANATI YA KSUSHO MAJENGO BINAFSI
12 ZAHANATI YA CURE & CARE MANUNDU BINAFSI
13 ZAHANATI YA KWAMDULU ESTATE KWAMSISI BINAFSI

Matangazo

  • MAJINA YA WATU WALIOITWA KWENYE USAILI - KOROGWE TC July 05, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI May 24, 2022
  • KOROGWE GIRLS S.S JOINING INSTRUCTIONS 2020/2021 December 15, 2020
  • KWAMNDOLWA S.S JOINING INSTRUCTIONS 2020/2021 December 15, 2020
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Mji wa Korogwe wapanga kutumia Shilingi Bilioni 26 Mwaka 2023/24

    February 09, 2023
  • TARURA yatenga Shilingi Bilioni 1.8 ujenzi wa barabara Mji wa Korogwe

    February 03, 2023
  • Mji wa Korogwe watoa Mkopo wenye thamani ya Shilingi Milioni 97

    January 11, 2023
  • Mji wa Korogwe wapata Mradi wa ujenzi wa mfumo wa kisasa wa Maji Taka

    January 11, 2023
  • Angalia Zote

Video

Video Zaidi

Kurasa Muhimu

  • Ukodishaji wa Ukumbi
  • Ukasanyaji wa Taka

Tovuti Zinazohusiana

  • TOVUTI YA SERIKALI
  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • MKOA TANGA
  • TUME YA AJIRA
  • PPRA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Korogwe Tanga Tanzania

    S.L.P: 615 Korogwe

    Simu: 0272650050

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@korogwetc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright©2018 Korogwe Town Council. All rights reserved.