• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Mji wa Korogwe
Halmashauri ya Mji wa Korogwe

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Korogwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango Miji na Ardhi
      • Afya
      • Maji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi waJamii
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Tehama na Uhusiano
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Viwanda
    • Mifugo
    • Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Za afya
    • Kielimu
    • Za Maji
    • Za kilimo
    • Mifugo
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Elimu, afya,uchumi na maji
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Picha za Video
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio

MADIWANI 104 WAPATIWA MAFUNZO YA UONGOZI NA UTAWALA BORA

Posted on: January 29th, 2026


Madiwani wa Halmashauri za Korogwe Mji,Wilaya ya Muheza pamoja na Wilaya ya Korogwe wapatiwa Mafunzo ya kuwajengea uwezo katika majukumu yao. Mafunzo hayo ya siku tatu yana lengo la kuwajengea uwezo Madiwani katika utendaji kazi kwa kuzingatia sheria, kanuni, taratibu na miongozo wa Serikali za Mitaa yamefanyika Januari 29, 2026 na yanatarajia kumalizika Januari 31, 2026  katika ukumbi wa GMCC ulipo Kata ya Bagamoyo Halmashauri ya Mji Korogwe.

Akizungumza katika ufunguzi wa mafunzo ya Siku tatu ya Madiwani wa Halmashauri hizo Mwakilishi wa Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Bw. Alex Mhando ambaye ni Afisa Tarafa wa Korogwe amewaasa Waheshimiwa Madiwani kujenga wajibu wa pamoja katika uongozi, Kuwa Wasimamizi wazuri katika kutatua migogoro na si kuwa vyanzo vya migogoro.

Aidha amesema kuwa “Tupo hapa kwa Karama ya Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan” hivyo tuwe chachu ya kutii sheria, kanuni na mamlaka ili kulinda heshima ya Nchi Yetu na kuleta tabasabu kwa Wananchi wetu.


Katika mafunzo hayo ya Siku tatu Waheshimiwa Madiwani wa Halmashauri ya Korogwe Mji,Wilaya na Muheza wamepata mafunzo kuhusu Utawala Bora, Sheria za Serikali za Mitaa na kanuni za uendeshaji wa vikao, lengo likiwa kuwajengea uwezo katika utekelezaji wa Majukumu yao ya kila siku.

Mafunzo ya Madiwani Katika Halmashauri ya hizo yametolewa na wataalam kutoka Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo pamoja na Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa.


Matangazo

  • ERMS OF REFERENCE FOR THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN KOROGWE TOWN UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • KLINIKI YA ARDHI KOROGWE MJI August 11, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI October 06, 2025
  • UWEPO WA FEDHA TSH. 100,000.000/= KUVIKOPESHA VIKUNDI. January 21, 2026
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • KAMPENI YA KOROGWE KIJANA NA MTAA YAKAMILIKA KWA MAFUNZO

    January 30, 2026
  • TANGAZO MUHIMU

    January 21, 2026
  • MADIWANI 104 WAPATIWA MAFUNZO YA UONGOZI NA UTAWALA BORA

    January 29, 2026
  • HERI YA SIKU YA KUZALIWA MHE. RAIS

    January 27, 2026
  • Angalia Zote

Video

Video Zaidi

Kurasa Muhimu

  • Ukodishaji wa Ukumbi
  • Ukasanyaji wa Taka

Tovuti Zinazohusiana

  • TOVUTI YA SERIKALI
  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • MKOA TANGA
  • TUME YA AJIRA
  • PPRA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Korogwe Tanga Tanzania

    S.L.P: 615 Korogwe

    Simu: 0272650050

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@korogwetc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright©2018 Korogwe Town Council. All rights reserved.