Idara ya Afya ni mojawapo ya Idara zinazotoa huduma ya Afya kwa jamii katika Halmashauri ya Mji Korogwe.
Halmashauri inasimamia vituo vya kutolea Huduma za Afya 13 ambavyo 7 ni vya serikali, 2 ni vya mashirika ya dini na 4 vya watu binafsi
MAJUKUMU YA IDARA:
JINSI HUDUMA ZINAVYOPATIKANA
Huduma hutolewa kwa wananchi wote wa Halmashauri ya Mji kwa mgawanyiko wa makundi matano (5) kama ifuatavyo;-
Watoto chini ya Umri wa Miaka mitano na Akina mama wajawazito ambao matibabu yao ni bure
ORODHA YA VITUO VYA KUTOLEA HUDUMA YA AFYA MJI WA KOROGWE
NA | JINA LA KITUO CHA KUTOLEA HUDUMA | KATA | MMILIKI |
1 | KITUO CHA AFYA CHA St. RAPHAEL | OLD KOROGWE | TAASISI YA DINI |
2 | KTUO CHA AFYA CHA St. JOSEPH | KWAMNDOLWA | TAASISI YA DINI |
3 | ZAHANATI YA MAJENGO | MAJENGO | SERIKALI |
4 | ZAHANATI YA KILOLE | BAGAMOYO | SERIKALI |
5 | ZAHANATI YA MTONGA | MTONGA | SERIKALI |
6 | ZAHANATI YA MSAMBIAZI | MSAMBIAZI | SERIKALI |
7 | ZAHANATI YA MGOMBEZI | MGOMBEZI | SERIKALI |
8 | ZAHANATI YA KWAMNDOLWA | KWAMNDOLWA | SERIKALI |
9 | ZAHANATI YA KWAMSISI | KWAMSISI | SERIKALI |
10 | ZAHANATI YA MANUNDU | MANUNDU | BINAFSI |
11 | ZAHANATI YA KSUSHO | MAJENGO | BINAFSI |
12 | ZAHANATI YA CURE & CARE | MANUNDU | BINAFSI |
13 | ZAHANATI YA KWAMDULU ESTATE | KWAMSISI | BINAFSI |
Korogwe Tanga Tanzania
S.L.P: 615 Korogwe
Simu: 0272650050
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@korogwetc.go.tz
Copyright©2018 Korogwe Town Council. All rights reserved.