• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Mji wa Korogwe
Halmashauri ya Mji wa Korogwe

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Korogwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango Miji na Ardhi
      • Afya
      • Maji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi waJamii
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Tehama na Uhusiano
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Viwanda
    • Mifugo
    • Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Za afya
    • Kielimu
    • Za Maji
    • Za kilimo
    • Mifugo
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Elimu, afya,uchumi na maji
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Picha za Video
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio

Kielimu

MAJUKUMU YA IDARA YA ELIMU MSINGI:

  • Kusimamia utekelezaji wa Sera ya Elimu katika mfumo rasmi na Elimu nje ya mfumo rasmi katika Halmashauri..
  • Kuandikisha watoto wa darasa la kwanza wenye umri wa miaka wa kwenda shule.
  • Kuelimisha jamii kushiriki katika mambo mbali mbali ya shule kupitia vikao vya mitaa ambavyo wananchi watahudhuria na kutoa maoni.
  •  Kuandaa bajeti ya idara na vitengo vyake ikiwa ni pamoja na mpango kazi unaoendana na bajeti hiyo.
  • Kusimamia na kuendeleza taaluma katika Mji wa Korogwe kwa kusimamia ufundishaji, mahudhurio ya walimu na wanafunzi na utendaji kazi kwa ujumla.
  •  Kuandaa takwimu mbalimbali za kielimu za wanafunzi, walimu, samani na miundombinu.
  • Kuratibu mashindano ya taaluma na michezo kwa shule za msingi.
  •  Kusimamia haki na maslahi ya walimu kwa kufuata taratibu kama vile posho,ruhusa, likizo,masomo,matibabu n.k.
  • Kuhudumia jamii kuhusiana na mambo yote ya kielimu na mafunzo mbalimbali kupitia kamati za shule na shuguli nyinginezo kama vile uhamisho wa wanafunzi.
  •  Kuandaa na kuendesha vikao mbalimbali vya wadau wa elimu katika ngazi zote za Halmashauri.
  • Kuandaa Tange ya walimu wa shule za msingi kwa kila mwaka.

    

MAJUKUMU YA IDARA YA ELIMU MSINGI:

  • Kumshauri Mkurugenzi wa Halmashauri kuhusu shughuli zote zinazohusu Idara ya Elimu ya Sekondari
  • Kusimamia mitihani yote ya ndani na ile ya Taifa yaani Mitihani ya kidato cha II,IV.VI na Vyuo vya Ualimu
  • Kusimamia, kuratibu na kufuatilia shughuli za ujenzi wa miundombinu katika shule za Sekondari kama vile nyumba za walimu, madarasa, majengo ya utawala, maabara, mkataba na vyoo
  • Kusimamia na kuratibu shughuli zote za Ukusanyaji, uchambuzi na kutafsiri takwimu za Idara ya elimu Sekondari na kuzituma kwa wadau wa elimu
  • Kusimamia na kuratibu shughuli za uandaaji wa taarifa na kuzituma kwa wadau mbalimbali wa elimu ngazi ya Wilaya, Mkoa na Taifa
  • Kusimamia na kuhakikisha kuwa wanafunzi wanapata taaluma kwa kiwango kilicho bora kwa mujibu wa Sera ya Elimu ya mwaka 1995 na 2014.
  • Kusimamia na kuhakikisha nidhamu ya wanafunzi, walimu na watumishi wasio walimu inadumishwa shuleni
  • Kusimamia na kuhakikisha fedha za Idara ya Elimu Sekondari zinatumika kwa kufuata kanuni, sheria, taratibu na miongozo ya fedha za Serekali za Mitaa
  • Kuhakikisha vifaa vya kufundishia na kujifunzia vinapatikana katika shule za sekondari
  • Kuhakikisha kuwa shule zote za Sekondari zina samani za kutosha kwa ajili ya walimu na wanafunzi
  • Kuandaa ajenda na kuhudhuria vikao vyote vinavyohusu Idara ya Elimu  Sekondari
  • Kuandaa taarifa za utekelezaji za Idara ya elimu sekondari za robo na mwaka na kuziwasilisha kwa wadau mbalimbali wa maendeleo kama vile Waheshimiwa Madiwani, Mkoa na Taifa
  • Kuandaa makisio na mapitio ya bajeti ya Idara ya Elimu ya Sekondari kila mwaka.
  • Kupokea na kuwapangia vituo walimu na wafanyakazi wa idara wanaohamia au wanaoajiriwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa

Idara inasimamia Jumla ya Shule za Sekondari za kumi na mbili zikiwemo za Serikali tisa (9) na shule za Binafsi tatu (3)

ORODHA YA SHULE ZA SEKONDARI ZA SERIKALI

NA JINA LA SHULE KATA
1 JOEL BENDERA KWAMSISI
2 KILOLE KILOLE
3 CHIEF KIMWERI MAGUNGA
4 KOROGWE GIRLS OLD KOROGWE
5 KWAMNDOLWA KWAMNDOLWA
6 NGOMBEZI NGOMBEZI
7 NYERERE MEMORIAL MANUNDU
8 OLD KOROGWE OLD KOROGWE
9 SEMKIWA MTONGA

Matangazo

  • MAJINA YA WATU WALIOITWA KWENYE USAILI - KOROGWE TC July 05, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI May 24, 2022
  • KOROGWE GIRLS S.S JOINING INSTRUCTIONS 2020/2021 December 15, 2020
  • KWAMNDOLWA S.S JOINING INSTRUCTIONS 2020/2021 December 15, 2020
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Mji wa Korogwe wapanga kutumia Shilingi Bilioni 26 Mwaka 2023/24

    February 09, 2023
  • TARURA yatenga Shilingi Bilioni 1.8 ujenzi wa barabara Mji wa Korogwe

    February 03, 2023
  • Mji wa Korogwe watoa Mkopo wenye thamani ya Shilingi Milioni 97

    January 11, 2023
  • Mji wa Korogwe wapata Mradi wa ujenzi wa mfumo wa kisasa wa Maji Taka

    January 11, 2023
  • Angalia Zote

Video

Video Zaidi

Kurasa Muhimu

  • Ukodishaji wa Ukumbi
  • Ukasanyaji wa Taka

Tovuti Zinazohusiana

  • TOVUTI YA SERIKALI
  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • MKOA TANGA
  • TUME YA AJIRA
  • PPRA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Korogwe Tanga Tanzania

    S.L.P: 615 Korogwe

    Simu: 0272650050

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@korogwetc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright©2018 Korogwe Town Council. All rights reserved.