• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Mji wa Korogwe
Halmashauri ya Mji wa Korogwe

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Korogwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango Miji na Ardhi
      • Afya
      • Maji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi waJamii
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Tehama na Uhusiano
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Viwanda
    • Mifugo
    • Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Za afya
    • Kielimu
    • Za Maji
    • Za kilimo
    • Mifugo
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Elimu, afya,uchumi na maji
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Picha za Video
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio

Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika

UTANGULIZI

Idara hii imegawanyika kiutendaji katika vitengo muhimu viwili:

  1. Kilimo
  2. Ushirika

MAJUKUMU YA IDARA:

KILIMO

  • Kutoa mafunzo juu ya mbinu bora za kilimo kwa wakulima 
  • Kushirikiana na wadau wa Kilimo kama vile watafiti na watoa huduma wa habari za Kilimo
  • Kutoa tahadhari ya mapema kwa wakulima juu ya kuzuka kwa magonjwa, wadudu na wanyama waharibifu na matukio ya kiangazi na mafuriko.
  • Kutoa msaada wa kiufundi/kitaalamu juu ya Kilimo cha umwagiliaji 
  • Kufanya tathmini ya ukame na juu ya uwepo wa njaa
  • Kuandaa taarifa za kilimo za kila robo mwaka, mwaka na kila zinapohitajika.
  • Kuandaa mpango na bajeti ya idara
  • Kuandaa na kutoa taarifa za utekelezaji wa shughuli mbalimbali za idara
  • Kubuni, kuanzisha na kusimamia  miradi ya umwagiliaji
  • Kuhakikisha upatikanaji wa pembejeo za kilimo kwa wakulima.

USHIRIKA

  • Kuunda vikundi vya Kilimo katika mfumo wa vyama vya Ushirika vya msingi.
  • Kutembelea ili kuona utendaji wa vyama vya ushirika na mikopo vilivyopo (SACCOS) 
  • Kukagua na kutoa ushauri kwa vyama vya ushirika na SACCOS zilizopo
  • Kutoa Elimu kwa vyama vya Ushirika

JINSI YA KUPATA HUDUMA MBALIMBALI ZA KILIMO NA USHIRIKA

  • Ushauri juu ya mbinu bora za kilimo hupatikana kwa njia ya maafisa ugani wa Kata ama kwa kutembelea mmoja mmoja, katika vikundi au wakulima shamba shule (FSS), mikutano, mabango na matangazo.
  • Kufanya kazi katika maeneo tofauti tofauti na kushirikiano na wakulima katika kutoa huduma.
  • Kupitia maafisa ugani wa vijiji na Kata, viongozi wa mashina na matawi kutoa matangazo na kusambaza vipeperushi vya elimu ya kilimo
  • Mikutano ya mara kwa mara kuhamasisha na kuunda vyama vya ushirika.
  • Wahandisi wa Umwagiliaji kutembelea miundombinu ya umwagiliaji, kukagua na kutoa msaada wa kitaalamu kwa wakulima







Matangazo

  • MAJINA YA WATU WALIOITWA KWENYE USAILI - KOROGWE TC July 05, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI May 24, 2022
  • KOROGWE GIRLS S.S JOINING INSTRUCTIONS 2020/2021 December 15, 2020
  • KWAMNDOLWA S.S JOINING INSTRUCTIONS 2020/2021 December 15, 2020
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Mji wa Korogwe wapanga kutumia Shilingi Bilioni 26 Mwaka 2023/24

    February 09, 2023
  • TARURA yatenga Shilingi Bilioni 1.8 ujenzi wa barabara Mji wa Korogwe

    February 03, 2023
  • Mji wa Korogwe watoa Mkopo wenye thamani ya Shilingi Milioni 97

    January 11, 2023
  • Mji wa Korogwe wapata Mradi wa ujenzi wa mfumo wa kisasa wa Maji Taka

    January 11, 2023
  • Angalia Zote

Video

Video Zaidi

Kurasa Muhimu

  • Ukodishaji wa Ukumbi
  • Ukasanyaji wa Taka

Tovuti Zinazohusiana

  • TOVUTI YA SERIKALI
  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • MKOA TANGA
  • TUME YA AJIRA
  • PPRA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Korogwe Tanga Tanzania

    S.L.P: 615 Korogwe

    Simu: 0272650050

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@korogwetc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright©2018 Korogwe Town Council. All rights reserved.