• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Mji wa Korogwe
Halmashauri ya Mji wa Korogwe

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Korogwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango Miji na Ardhi
      • Afya
      • Maji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi waJamii
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Tehama na Uhusiano
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Viwanda
    • Mifugo
    • Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Za afya
    • Kielimu
    • Za Maji
    • Za kilimo
    • Mifugo
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Elimu, afya,uchumi na maji
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Picha za Video
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio

WANAFUNZI WAPEWA KINGA YA MINYOO TUMBO NA KICHOCHO

Posted on: February 12th, 2026

Wananfunzi wenye umri wa miaka 5 mpaka miaka 14, wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe wamepatiwa dawa za kinga tiba dhidi ya minyoo tumbo, dawa zilizotolewa kwa shule zote za msingi katika halmashauri hiyo limefanyika Februari 12, 2026  ambapo na kutekelezwa chini ya usimamizi wa Mratibu wa kudhibiti Magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele akishirikiana na walimu kwa kila shule husika.






Dawa hizo zinatolewa kwa watoto wa umri huo, ikiwa ni mpango wa kitaifa wa kudhibiti magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele, kwa watoto wote wa umri huo.



Afisa wa Mpango wa Taifa wa kudhibiti magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele Veronica Mjema akiwa katika ziara ya kuzitembelea shule zilizopo Halmashauri ya Mji wa Korogwe  kwa ajili ya kuangalia mwenendo mzima wa zoezi la ugawaji dawa za minyoo ya kichocho na minyoo ya tumbo kwa wanafunzi wa Shule za Msingi 40 alisema kuwa ameridhika na maandalizi ya watoto shuleni kwani kila shule imewandaa watoto vizuri kwa kuwa elimisha umuhimu wa kumeza dawa za minyoo ya tumbo na kichocho.

Mjema aliongeza kuwa utekelezaji wa zoezi hilo unaendelea vizuri kwani kila shule imeandaa mazingira safi ya kugawia dawa na pia walimu wamehakikisha kila mtoto ana pata chakula cha kutosha kabla ya kunywa dawa hizo.

Aliwasisitiza Walimu hao kuendelea kuwa karibu na wanafunzi hao pamoja na kuwapatia elimu ya kuwaondoa hofu baada ya kunywa dawa hizo.

Matangazo

  • ERMS OF REFERENCE FOR THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN KOROGWE TOWN UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • KLINIKI YA ARDHI KOROGWE MJI August 11, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI October 06, 2025
  • UWEPO WA FEDHA TSH. 100,000.000/= KUVIKOPESHA VIKUNDI. January 21, 2026
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • WANAFUNZI WAPEWA KINGA YA MINYOO TUMBO NA KICHOCHO

    February 12, 2026
  • WANAFUNZI WAPEWA KINGA YA MINYOO TUMBO NA KICHOCHO

    February 12, 2026
  • WANAFUNZI WAPEWA KINGA YA MINYOO TUMBO NA KICHOCHO

    February 12, 2026
  • WANAFUNZI WAPEWA KINGA YA MINYOO TUMBO NA KICHOCHO

    February 12, 2026
  • Angalia Zote

Video

Video Zaidi

Kurasa Muhimu

  • Ukodishaji wa Ukumbi
  • Ukasanyaji wa Taka

Tovuti Zinazohusiana

  • TOVUTI YA SERIKALI
  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • MKOA TANGA
  • TUME YA AJIRA
  • PPRA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Korogwe Tanga Tanzania

    S.L.P: 615 Korogwe

    Simu: 0272650050

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@korogwetc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright©2018 Korogwe Town Council. All rights reserved.