• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Mji wa Korogwe
Halmashauri ya Mji wa Korogwe

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Korogwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango Miji na Ardhi
      • Afya
      • Maji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi waJamii
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Tehama na Uhusiano
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Viwanda
    • Mifugo
    • Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Za afya
    • Kielimu
    • Za Maji
    • Za kilimo
    • Mifugo
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Elimu, afya,uchumi na maji
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Picha za Video
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio

KAMATI YA UHAKIKI MIKOPO WILAYA YAFANYA ZIARA

Posted on: November 26th, 2025

Kamati ya uhakiki wa mikopo Wilaya yafanya ziara ya kuhakiki vikundi vinavyostahili kupewa mikopo inayotokana na asilimia 10 ya mapato ya ndani na fedha za marejesho ya vikundi kwa Halmashauri ya Mji Korogwe kwa robo ya kwanza kwa mwaka  wa fedha 2025/2026.

Kamati hiyo imeongozwa na Kaimu Katibu Tawala Bi. Glory Sanga, mwakilishi kutoa ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tanga Bw. Charles Mtali, Afisa TAKUKURU, na mwakilishi wa OCD Korogwe pamoja na ofisi ya Maendeleo ya Jamii Halmashauri ya Mji Korogwe.

 

Ziara hiyo imefanyika Novemba 25 na kumalizika Novemba 26, 2025 katika kata mbalimbali zikiwemo Kwamsisi, Mtonga, Kilole, Magunga, Masuguru, Majengo, Old Korogwe, Manundu na Bagamoyo. Vikundi 15 vimebainishwa kuomba mkopo na kufanyiwa tathmini kama walivyoomba. Lengo la ziara hiyo ni kuhakiki miradi ya vikundi.

Kaimu Mwenyekiti wa kamati hiyo Korogwe Bi. Glory Sanga ambaye ni mwakilishi wa Katibu Tawala Wilaya Korogwe amewataka wanavikundi kuchukua mkopo na kufanya mradi utakaowawezesha kurejesha.Baada ya ziara hiyo kikao cha tathmini ya uhakiki wa vikundi vinavyotarajiwa kupewa mikopo Wilaya  kwa kipidi cha robo ya kwanza ya mwaka wa fedha 2025/2026 kilifanyika.

Aidha Mratibu wa mikopo asilimia 10 Bi.Rahma Kahelo kwa kushirikiana na maafisa maendeleo ya jamii ngazi za Kata ameahidi kufuatilia kwa kina miradi itakayoanzishwa na kila kikundi ili kuhakikisha lengo la utoaji wa mikopo hiyo linatimia kwa kila mwananchi.

Matangazo

  • ERMS OF REFERENCE FOR THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN KOROGWE TOWN UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • KLINIKI YA ARDHI KOROGWE MJI August 11, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI October 06, 2025
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • KAMATI YA UHAKIKI MIKOPO WILAYA YAFANYA ZIARA

    November 26, 2025
  • KAMATI YA UHAKIKI MIKOPO WILAYA YAFANYA ZIARA

    November 26, 2025
  • UZINDUZI WA SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI KIJINSIA

    November 25, 2025
  • WALIMU WA SOMO LA HISABATI WAJENGEWA UWEZO

    November 23, 2025
  • Angalia Zote

Video

Video Zaidi

Kurasa Muhimu

  • Ukodishaji wa Ukumbi
  • Ukasanyaji wa Taka

Tovuti Zinazohusiana

  • TOVUTI YA SERIKALI
  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • MKOA TANGA
  • TUME YA AJIRA
  • PPRA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Korogwe Tanga Tanzania

    S.L.P: 615 Korogwe

    Simu: 0272650050

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@korogwetc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright©2018 Korogwe Town Council. All rights reserved.