Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe Bi. Mwashabani Mrope anawakaribisha Wananchi wote wa Korogwe Mji kwenye maonesho ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi kanda ya Mashariki yanayofanyika Halmashauri ya manispaa ya Morogoro 2025 kwenye Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere. Katika banda la Halmashauri ya Mji wa Korogwe utapata bidhaa mbalimbali zikiwemo pilipili, Asali mbichi, Mwani, Ubuyu, Tambi, Biskuti,Sabuni za mikono na Vitenge pamoja na Viti vya Asili.
Korogwe Tanga Tanzania
S.L.P: 615 Korogwe
Simu: 0272650050
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@korogwetc.go.tz
Copyright©2018 Korogwe Town Council. All rights reserved.