Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe Mh. Francis Komba anawakaribisha Wananchi wote wa Mji wa Korogwe kujitokeza kwa wingi Siku ya Jumatatu ya Tarehe 9 Juni, 2025 katika Viwanja vya Shule ya Sekondari ya Wasicha Korogwe kwa ajili ya kuupokea Mwenge wa Uhuru 2025 ukitokea Halmashauri ya Mji wa Handeni. Kauli mbiu ya mwaka huu inasema “Jitokeze kushiriki Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 kwa Amani na Utulivu”
Korogwe Tanga Tanzania
S.L.P: 615 Korogwe
Simu: 0272650050
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@korogwetc.go.tz
Copyright©2018 Korogwe Town Council. All rights reserved.