Karibu utembelee Banda la Halmashauri ya Mji wa Korogwe katika Maonesho ya Nanenane yanayofanyika Kanda ya Mashariki Mkoani Morogoro kuanzia Agosti 1, hadi Agosti 8, 2025.Halmashauri ya Mji wa Korogwe kupitia Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi inatoa Elimu ya Kilimo cha Mazao mbalimbali na Ufugaji wa kisasa. Maafisa hao wametoa Elimu leo Agosti 5, 2025 katika Banda la Halmashauri ya Mji wa Korogwe. Kauli mbiu ya Mwaka huu inasema”Chagua Viongozi Bora kwa Maendeleo Endelevu ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi 2025”.
Korogwe Tanga Tanzania
S.L.P: 615 Korogwe
Simu: 0272650050
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@korogwetc.go.tz
Copyright©2018 Korogwe Town Council. All rights reserved.