Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Korogwe anawaalika wananchi wote wa Korogwe kwenye maadhimisho ya siku ya UKIMWI DUNIANI yatakayofanyika katika Zahanati ya Kwakombo iliyopo Kata ya Kwamsisi siku ya Jumatatu Disemba 1, 2025.
Huduma za upimaji na uchunguzi wa afya kwa wananchi zitatolewa bure. Huduma hizo ni pamoja na Upimaji wa VVU, upimaji wa kifua kikuu, upimaji wa hali ya lishe, na uchunguzi wa kinywa na meno.
Korogwe Tanga Tanzania
S.L.P: 615 Korogwe
Simu: 0272650050
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@korogwetc.go.tz
Copyright©2018 Korogwe Town Council. All rights reserved.