• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Mji wa Korogwe
Halmashauri ya Mji wa Korogwe

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Korogwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango Miji na Ardhi
      • Afya
      • Maji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi waJamii
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Tehama na Uhusiano
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Viwanda
    • Mifugo
    • Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Za afya
    • Kielimu
    • Za Maji
    • Za kilimo
    • Mifugo
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Elimu, afya,uchumi na maji
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Picha za Video
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio

Maafisa Elimu kata, Walimu Wakuu, Maafisa Ustawi wa Jamii, Wenyeviti wa Kamati za Shule za Mji wa Korogwe wapatiwa Mafunzo ya Elimu Jumuishi.

Posted on: May 29th, 2025

Bi. Sharifa Wanja Afisa Elimu Awali na Msingi amefungua mafunzo ya siku tatu kwa Maafisa Elimu kata, Maafisa ustawi wa jamii ,Walimu wakuu pamoja na wenyeviti wa kamati za Shule kwa niaba ya Mkurugenzi Halmashauri ya mji wa Korogwe. Lengo kuu la Mafunzo hayo ni kuwapitisha Washiriki wa Mafunzo katika dhana ya Elimu Jumuishi. Mafunzo hayo yalitolewa na wadhibiti ubora kutoka Halmashauri ya mji wa korogwe chini ya udhamini wa Mradi wa Shule Bora.Mafunzo hayo yalifanyika katika ukumbi wa Shule ya Msingi Boma Mei 29 (Mwaka huu). Katika ufunguzi wa mafunzo hayo, afisa elimu msingi alieleza kuwa ujumuishi sio tu kuangalia wanafunzi wenye mahitaji maalum bali ni kuangalia ujumuishi wa kila mwanafunzi kwa hali yake inayomwezesha kukamilisha mzunguko mzima wa elimu yake kwa kuangalia jamii, familia anayotoka ikiwemo upatikanaji wa mahitaji muhimu kama chakula, mavazi na malazi.

Watoa mafunzo hayo  ni Wadhibbiti ubora kutoka Halmashauri ya Mji wa Korogwe walibainisha Shule ambazo zimekumbwa na changamoto ya mdondoko katika Halmashauri ya Mji wa Korogwe ni pamojana Shule ya Msingi Kwamsisi na Shule ya Msingi Kwamndolwa.

 Kwa upande mwingine Mwezeshaji wa Mafunzo hayo Bw. Kennedy Magumba Kabula alisema “ili kuondokana na tatizo hili la mdondoko wa Shule lazima Tathmini ifanyike kwa Shule hizo zilizobainika  pamoja na kuandaa mpango kazi wa kurekebisha changamoto hizo. Naye Bi. Salome Mgalla Mwezeshaji wa Mafunzo ambaye pia ni Mdhibiti ubora wa Shule Halmashauri ya Mji wa Korogwe alifafanua kipengele cha kuandaa mpango rekebishi pamoja na kufanya Tathmini jumuishi Shuleni kwa kuzingatia mahitaji ya  Wanafunzi kwa wote

Matangazo

  • Tangazo la Kazi - Afya December 06, 2024
  • TANGAZO LA KAZI - AFYA November 26, 2024
  • ERMS OF REFERENCE FOR THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN KOROGWE TOWN UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Maafisa Elimu kata, Walimu Wakuu, Maafisa Ustawi wa Jamii, Wenyeviti wa Kamati za Shule za Mji wa Korogwe wapatiwa Mafunzo ya Elimu Jumuishi.

    May 29, 2025
  • Mkuu wa Mkoa atembelea ujenzi wa Nyumba ya Daktari Zahanati ya Lwengera.

    May 27, 2025
  • Shilingi Milioni Sitini zatolewa na Halmashauri ya Mji wa Korogwe.

    May 20, 2025
  • Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi atembelea vituo vya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura Jimbo la Korogwe Mjini

    May 19, 2025
  • Angalia Zote

Video

Video Zaidi

Kurasa Muhimu

  • Ukodishaji wa Ukumbi
  • Ukasanyaji wa Taka

Tovuti Zinazohusiana

  • TOVUTI YA SERIKALI
  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • MKOA TANGA
  • TUME YA AJIRA
  • PPRA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Korogwe Tanga Tanzania

    S.L.P: 615 Korogwe

    Simu: 0272650050

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@korogwetc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright©2018 Korogwe Town Council. All rights reserved.