Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Korogwe Mjini B w. Elinlaa Kivaya amkabidhi fomu Mgombea nafasi ya ubunge kupitia tiketi ya Chama cha mapinduzi (CCM) Jimbo la Korogwe Mjini CPA.Charles Njama. Bw. Kivaya alimkabidhi Fomu CPA. Njama Agosti 26, 2025 katika Ofisi ya Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Korogwe Mjini.” Kura yako Haki yako Jitokeze kupiga kura.”Oktoba 29, 2025.
Korogwe Tanga Tanzania
S.L.P: 615 Korogwe
Simu: 0272650050
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@korogwetc.go.tz
Copyright©2018 Korogwe Town Council. All rights reserved.