Mawakala wa vyama vya siasa waapishwa
Mawakala wanaowakilisha wagombea wa vyama vya siasa katika vituo vya kupigia kura kwaajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024 wameapishwa. Mawakala hao wa vyama vya siasa waliapa mbele ya Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe Bi. Happy Luteganya. Kiapo hicho kilifanyika Novemba 26, Mwaka huu (2024) katika ukumbi wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe.
Korogwe Tanga Tanzania
S.L.P: 615 Korogwe
Simu: 0272650050
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@korogwetc.go.tz
Copyright©2018 Korogwe Town Council. All rights reserved.