Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe Mh. Francis Komba amewataka Watumishi wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe kushirikiana na Mkurugenzi wa Mji wa Korogwe Bi. Mwashabani Mrope katika kufanya kazi kwa bidii na kwa moyo. Mh. Komba ameyasema hayo katika kikao cha taarifa ya Utendaji kazi na Mafanikio katika Halmashauri kwa Kipndi cha Miaka Mitano (5) kuanzia Novemba 2020 hadi Mei,2025. Kikao hicho kimefanyika katika Ukumbi wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe Leo Juni 11, 2025.
Korogwe Tanga Tanzania
S.L.P: 615 Korogwe
Simu: 0272650050
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@korogwetc.go.tz
Copyright©2018 Korogwe Town Council. All rights reserved.