Wakuu wa Shule, Walimu wakuu pamoja na Walimu wa Fedha wapatao Themanini na mbili (82) kutoka Shule za Msingi na Sekondari za Serikali Halmashauri ya Mji wa Korogwe wamepatiwa mafunzo jinsi ya kutumia mfumo wa FFARS wakiwa katika Shule zao. Wawezeshaji wa mafunzo hayo ya mfumo wa FFARS ni Bw. Omar Kombo Suleiman Mhasibu Halmashauri ya Mji wa Korogwe wakishirikiana na Wahasibu kutoka Halmashauri ya Mji wa Korogwe wametoa mafunzo hayo. Mafunzo hayo yametolewa Agosti 19, (Mwaka huu) 2025 katika Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe.
Korogwe Tanga Tanzania
S.L.P: 615 Korogwe
Simu: 0272650050
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@korogwetc.go.tz
Copyright©2018 Korogwe Town Council. All rights reserved.