• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Mji wa Korogwe
Halmashauri ya Mji wa Korogwe

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Korogwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango Miji na Ardhi
      • Afya
      • Maji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi waJamii
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Tehama na Uhusiano
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Viwanda
    • Mifugo
    • Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Za afya
    • Kielimu
    • Za Maji
    • Za kilimo
    • Mifugo
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Elimu, afya,uchumi na maji
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Picha za Video
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio

Mji wa Korogwe wakamilisha mradi wa ujenzi wa madarasa

Posted on: January 9th, 2023

Mji wa Korogwe wakamilisha mradi wa ujenzi wa madarasa

 Mpaka kufikia Januari 9 Mwaka huu, Tarehe ambayo Shule zote za Msingi na Sekondari hapa Nchini zinafunguliwa kwaajili ya kuanza Mhula mpya wa Masomo. Halmashauri ya Mji wa Korogwe tayari imeshakamilisha Mradi wa Ujenzi wa Mdarasa Kumi na Moja katika Shule za Sekondari. Mradi huo wenye thamani ya Shilingi Milioni 220, fedha zake zilizotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa lengo la kupunguza uhaba wa Madarasa katika Shule za Sekondari hapa nchini.

“Kukamilika kwa Mradi wa Ujenzi wa Madarasa Kumi na Moja katika Shule za Sekondari kutasaidia kuongeza idadi ya Wanafunzi wanaotarajia kujiunga na Kidato cha Kwanza Mwaka huu” alisema Bi. Charity Sichona ambaye ni Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe. Bi. Charity alifafanua kuwa Halmashauri ya Mji wa Korogwe imejipanga vyema kuhakikisha kila Mwanafunzi aliyechaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza anapata nafsi ili kufikia lengo la Serikali.

“Madarasa yote yamejengwa kwa viwango kwa kuzingatia vigezo vyote vya Serikali vilivyoainishwa” alisema Bw. Richard Pantaleo ambaye ni Mhandisi kutoka Idara ya Ujenzi katika Halmashauri ya Mji wa Korogwe. Bw. Pantaleo alifafanua kuwa Shule zilizonufaika na Mradi wa Ujenzi wa Madarasa hayo ni pamoja na Shule ya Sekondari Semkiwa Madarasa Sita, Shule ya Sekondari Nyerere Madarasa Matatu na Shule ya Sekondari Kimweri madarsa Mawili.

 Kwa upande mwengine, Bi. Mariamu Mohamed ambaye ni Mkazi wa Mji wa Korogwe anayeishi jirani na Shule ya Sekondari Semkiwa alitoa shukrani kwa serikali kwa kusema " Tunatoa  pongezi kwa Mama Samia ( Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan) kwa kutujengea madarasa, madarasa haya yatasaidia Watoto wetu kujiunga kwa wingi katika Shule za Sekondari".

Matangazo

  • MAJINA YA WATU WALIOITWA KWENYE USAILI - KOROGWE TC July 05, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI May 24, 2022
  • KOROGWE GIRLS S.S JOINING INSTRUCTIONS 2020/2021 December 15, 2020
  • KWAMNDOLWA S.S JOINING INSTRUCTIONS 2020/2021 December 15, 2020
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Mji wa Korogwe watoa Mkopo wenye thamani ya Shilingi Milioni 97

    January 11, 2023
  • Mji wa Korogwe wapata Mradi wa ujenzi wa mfumo wa kisasa wa Maji Taka

    January 11, 2023
  • Mji wa Korogwe wakamilisha mradi wa ujenzi wa madarasa

    January 09, 2023
  • Mji wa Korogwe waungana na Mataifa mengine kuadhimisha Siku ya Ukimwi Duniani

    December 01, 2022
  • Angalia Zote

Video

Video Zaidi

Kurasa Muhimu

  • Ukodishaji wa Ukumbi
  • Ukasanyaji wa Taka

Tovuti Zinazohusiana

  • TOVUTI YA SERIKALI
  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • MKOA TANGA
  • TUME YA AJIRA
  • PPRA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Korogwe Tanga Tanzania

    S.L.P: 615 Korogwe

    Simu: 0272650050

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@korogwetc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright©2018 Korogwe Town Council. All rights reserved.