• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Mji wa Korogwe
Halmashauri ya Mji wa Korogwe

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Korogwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango Miji na Ardhi
      • Afya
      • Maji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi waJamii
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Tehama na Uhusiano
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Viwanda
    • Mifugo
    • Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Za afya
    • Kielimu
    • Za Maji
    • Za kilimo
    • Mifugo
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Elimu, afya,uchumi na maji
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Picha za Video
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio

Mkurugenzi wa Mji wa Korogwe akabidhi Kompyuta Mpakato kwa Idara ya Kilimo.

Posted on: September 10th, 2025

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe Bi. Mwashabani Mrope amewakabidhi  wanakikundi cha Mshikamano fund Idara ya Kilimo  Kompyuta Mpakato (Laptop) kumi zenye thamani ya Shilingi Milioni Tano na Laki mbili (5,200,000).Bi. Mwashabani Mrope amekabidhi Kompyuta Mpakato hizo kwa Kikundi cha mshikamano  Idara ya Kilimo kwa lengo la kuimarisha ufanisi wa kazi wakati wakitekeleza majukumu yao na pia itadumisha upendo na mshikamano mahali pa kazi. Makabidhiano hayo yalifanyika leo Septemba 10, 2025 (Mwaka huu) katika  ofisi za uthibiti ubora  wa Shule  Halmashauri ya Mji wa Korogwe.

Bi. Mwashabani Mrope aliwaasa wanamshikamano pasitokee hata mtu mmoja atakayewakatisha tamaa katika umoja wenu pendaneni ili kikundi kiweze kusonga mbele hata wale waliohama watamani kurudi tena”alisema Mkurugenzi wa Mji wa Korogwe”pia Bi. Mwashabani Mrope alichangia kikundi cha Mshikamano fund fedha za kitanzania Shilingi Laki mbili ili kutunisha mfuko huo. Naye Mwenyekiti wa Kikundi cha Mshikamano fund   Bw.Hamis Kileta alifafanua kuwa kikundi hiki lengo lake kuu ni kusaidiana wakati wa  shida na wakati wa raha. Aliendelea kwa kumshukuru Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe kwa kutukabidhi Kompyuta Mpakato Pamoja na kututia moyo na tunakuhaidi  tutashikamana na kupendana.

Matangazo

  • ERMS OF REFERENCE FOR THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN KOROGWE TOWN UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • KLINIKI YA ARDHI KOROGWE MJI August 11, 2025
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Mkurugenzi wa Mji wa Korogwe akabidhi Kompyuta Mpakato kwa Idara ya Kilimo.

    September 10, 2025
  • Mkurugenzi wa Mji wa Korogwe akabidhi Kompyuta Mpakato kwa Idara ya Kilimo.

    September 10, 2025
  • Halmashauri ya Mji wa Korogwe yaadhimisha ya Juma la Elimu ya Watu Wazima.

    September 08, 2025
  • Halmashauri ya Mji wa Korogwe yaadhimisha ya Juma la Elimu ya Watu Wazima.

    September 08, 2025
  • Angalia Zote

Video

Video Zaidi

Kurasa Muhimu

  • Ukodishaji wa Ukumbi
  • Ukasanyaji wa Taka

Tovuti Zinazohusiana

  • TOVUTI YA SERIKALI
  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • MKOA TANGA
  • TUME YA AJIRA
  • PPRA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Korogwe Tanga Tanzania

    S.L.P: 615 Korogwe

    Simu: 0272650050

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@korogwetc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright©2018 Korogwe Town Council. All rights reserved.