• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Mji wa Korogwe
Halmashauri ya Mji wa Korogwe

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Korogwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango Miji na Ardhi
      • Afya
      • Maji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi waJamii
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Tehama na Uhusiano
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Viwanda
    • Mifugo
    • Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Za afya
    • Kielimu
    • Za Maji
    • Za kilimo
    • Mifugo
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Elimu, afya,uchumi na maji
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Picha za Video
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio

Mkurugenzi wa Mji wa Korogwe apongezwa kwa utekelezaji wa miradi ya maendeleo

Posted on: September 25th, 2024

Mkurugenzi wa Mji wa Korogwe apongezwa kwa utekelezaji wa miradi ya maendeleo

Mkurugenzi wa Mji wa Korogwe Bi. Mwashabani Mrope amepongezwa kwa utekelezaji mzuri wa Miradi ya Maendeleo. Pongezi hizo zilitolewa na Ndg. Selemani Sankwa ambaye ni Katibu wa CCM Mkoa wa Tanga. Ndg. Sankwa alitoa pongezi hizo baada ya Kamati ya Siasa ya Mkoa wa Tanga kutembelea Mji wa Korogwe kwa lengo la kujionea utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo. Ziara hiyo ilifanyika Septemba 25, 2024.

Kamaati ya Siasa Mkoa wa Tanga baada ya kuwasili Mjini Korogwe ilitembelea Mradi wa Ujenzi wa Vyumba vya Madarasa katika Shule ya Msingi kwa Semangube, Shule ya Sekondari ya Semkiwa pamoja na Ujenzi wa Vyumba vya Maabara katika Shule ya Sekondari New Bagamoyo.

Matangazo

  • ERMS OF REFERENCE FOR THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN KOROGWE TOWN UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • KLINIKI YA ARDHI KOROGWE MJI August 11, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI October 06, 2025
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • MKURUGENZI AZUNGUMZA NA WAFANYABIASHARA

    December 12, 2025
  • WAKUU WA IDARA NA VITENGO WATEMBELEA MIRADI

    December 11, 2025
  • WAKUU WA IDARA NA VITENGO WATEMBELEA MIRADI

    December 11, 2025
  • WAFANYABIASHARA SOKO LA MANUNDU WAFURAHISHWA NA UTENDAJI WA MKURUGENZI.

    December 01, 2025
  • Angalia Zote

Video

Video Zaidi

Kurasa Muhimu

  • Ukodishaji wa Ukumbi
  • Ukasanyaji wa Taka

Tovuti Zinazohusiana

  • TOVUTI YA SERIKALI
  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • MKOA TANGA
  • TUME YA AJIRA
  • PPRA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Korogwe Tanga Tanzania

    S.L.P: 615 Korogwe

    Simu: 0272650050

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@korogwetc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright©2018 Korogwe Town Council. All rights reserved.