Mkurugenzi wa Mji wa Korogwe ashiriki kikao Kazi cha Ofisi ya Rais Tamisemi Mkoani Pwani
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe Bi. Mwashabani Mrope ameshiriki Kikao cha Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tamisemi na Wakurugenzi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa. Kikao hicho kinafanyika Mjini Kibaha Mkoani Pwani kuanzia Mei 06, Mwaka huu (2024) na kinatarajiwa kitakamilika Mei 08. Mgeni rasmi katika kikao hicho ni Mhe. Mohamed Mchengerwa ambaye ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tamisemi.
Korogwe Tanga Tanzania
S.L.P: 615 Korogwe
Simu: 0272650050
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@korogwetc.go.tz
Copyright©2018 Korogwe Town Council. All rights reserved.