• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Mji wa Korogwe
Halmashauri ya Mji wa Korogwe

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Korogwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango Miji na Ardhi
      • Afya
      • Maji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi waJamii
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Tehama na Uhusiano
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Viwanda
    • Mifugo
    • Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Za afya
    • Kielimu
    • Za Maji
    • Za kilimo
    • Mifugo
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Elimu, afya,uchumi na maji
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Picha za Video
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio

Mkuu wa Mkoa Tanga akabidhi msada kwa wahanga wa mafuriko

Posted on: January 29th, 2020

Mkuu wa Mkoa Tanga akabidhi msada kwa wahanga wa mafuriko

Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mh. Martine Shigela amekabidhi msada kwa wahanga wa mafuriko yaliyotokea mwishoni mwa mwaka. Msada huo ulitolewa na kampuni ya Cocacola Kwanza ya Dar es salaam kwa ajili ya Halmashauri tatu za wilaya ambazo ni Korogwe, Lushoto na Handeni.  Makabidhiano hayo ya msada yalifanyika Januari 29, mwaka huu katika ukumbi wa mikutano uliopo Halmashauri ya Mji wa Korogwe.

Wakati wa makabidhiano Mh. Shigela aliishukuru kampuni ya Cocacola Kwanza kwa msada waliotoa kwa wananchi waliopata maafa. Mwishoni mwa mwaka jana mvua zilinyeesha na kusababisha madhara makubwa  kwa wananchi ikiwemo uharibifu wa makazi na mali mbalimbali. Msada uliyotolewa na kampuni ya Cocacola Kwanza ni pamoja na  Magodoro mia tatu (300), Shuka mia tatu (300), Vyandarua mia moja na hamsini (150), Maharage kilo mia mbili na arobaini (240), Mchele kilo mia tano (500) na Mafuta ya kupikia lita mia tano (500).

Katika makabidhiano hayo Wakuu wa Wilaya pia walishiriki akiwemo Mh. Kissa Kasongwa Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Mh. January Lugangika Mkuu wa Wilaya ya Lushoto pamoja na Mh.Boniface Maiga ambaye ni Katibu Tawala wa Wilaya ya Handeni. Waheshimiwa wote  waliishukuru kampuni ya Cocacola Kwanza kwa msada waliotoa kwani wameonesha utu, umoja na mshikamano kwa wahanga wa mafuriko.

Nae Bwana Victor Byemelwa ambaye ni Afisa Mawasiliano wa kampuni ya Cocacola Kwanza alisema kuwa  msada waliotoa ni jitihada za kampuni kutoa pole kwa wahanga wa mafuriko yaliyotokea mwishoni mwa mwka jana. Kwa  upande mwingine  Ndugu Faraji Abdallah na Bi. Zaina Ramadhani ambao ni waathirika wa mafuriko waliishukuru kampuni ya Cocacola Kwanza na Serikali kwa ujumla kwa kuwapatia msada.

Matangazo

  • Tangazo la Kazi - Afya December 06, 2024
  • TANGAZO LA KAZI - AFYA November 26, 2024
  • ERMS OF REFERENCE FOR THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN KOROGWE TOWN UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Waratibu Elimu kata na Wali Wakuu wa Shule za Msingi za Mji wa Korogwe wajengewa uwezo wa usimamizi wa ufundishaji na Ujifunzaji.

    June 27, 2025
  • Mradi wa TACTIC kuimarisha Huduma za Usafirishaji kwa Miji 12 Tanzania.

    June 26, 2025
  • Halmashauri ya Mji wa Korogwe yaadhimisha Siku ya Wajane Duniani.

    June 23, 2025
  • Shule ya Msingi Kwamngumi yalima Hekari mbili za Mahindi

    June 19, 2025
  • Angalia Zote

Video

Video Zaidi

Kurasa Muhimu

  • Ukodishaji wa Ukumbi
  • Ukasanyaji wa Taka

Tovuti Zinazohusiana

  • TOVUTI YA SERIKALI
  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • MKOA TANGA
  • TUME YA AJIRA
  • PPRA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Korogwe Tanga Tanzania

    S.L.P: 615 Korogwe

    Simu: 0272650050

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@korogwetc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright©2018 Korogwe Town Council. All rights reserved.