Katika kuadhimisha maadhimisho ya wiki ya juma la Elimu, Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Mh Martine Shighella ametembelea Majengo mapya ya shule ya Msingi Kilimani na kujionea ubora wa majengo hayo na kupokea taarifa fupi ya ujenzi wake.
Korogwe Tanga Tanzania
S.L.P: 615 Korogwe
Simu: 0272650050
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@korogwetc.go.tz
Copyright©2018 Korogwe Town Council. All rights reserved.