Mbunge Korogwe Mjini na Mwenyekiti wa Halmashauri wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martin Shigella wakati akifungua kikao cha Bodi ya Barabara (Road Boad) ambapo alisisitiza umuhimu wa wabunge wa mkoa wa Tanga kutumia nafasi zao kusaidia kuelezea changamoto zinazozikabili barabara zetu ili zipewe msukumo na meneja wa wakala wa mtandao wa barabara Mkoa wa Tanga
Korogwe Tanga Tanzania
S.L.P: 615 Korogwe
Simu: 0272650050
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@korogwetc.go.tz
Copyright©2018 Korogwe Town Council. All rights reserved.