Mkuu wa Wilaya ya Korogwe amewataka Wataalamu wa Halamshauri ya Mji wa Korogwe kuhamasisha Wananchi kujitokeza kwa Wingi siku ya jumatatu Juni 9, 2025 katika Viwanja vya Shule ya Wasichana ya Korogwe kwa ajili kuupokea Mwenge wa Uhuru katika Viwanja vya Mji wa Korogwe.
Korogwe Tanga Tanzania
S.L.P: 615 Korogwe
Simu: 0272650050
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@korogwetc.go.tz
Copyright©2018 Korogwe Town Council. All rights reserved.